Babaa matatooo....

Babaa matatooo....

Washangaa ya mombasa...ukiyasikia ya italy, ufaransa na marekani si utapata kiharusi!
 
Mwambie amwangalie kama marinda yapo! Kama hayapo basi kwisha habari yake!
Wifi yangu kipenzi nilimpa mwaliko easter, Tukiwa kwenye stori akanikatiza........Stori inaanza hivi,

"Hivi wifi unajua baada ya kakako kuniacha sahizi nimepata bwana mwingine?Huyu bwana toka Mombasa, Lakini huyu bwana shoga ananiacha hoiii matatooo mwili mzima! niliyachunguza sana nikagundua Kifuani na Mgongoni Kachora sura ya MWANAUME,..nilishituka nikamuuliza hii sura ya nani,akanijibu,sura ya marehemu kaka yangu eti alikuwa anampenda sana...wifi hii habari ya kweli unavyoona mwenzangu?"
Nikacheka nikamjibu "wifi yangu bora usimchunguze sana bata maana ukitaka ukweli utakutana na mazito zaidi"

Lakini mi baada ya kukaa sana na kutafakari kwakweli siamini et mtu nduguyo marehem umempenda sana ndo umchore mwilini? tena mwanaume .....

Hebu jamani members Kwa kahabari haka huyu jamaa vipi? mana mombasa nako mhhhh/......
 
mi nawapenda dada zangu hapo tu...wakiwa mapenzini..akili zao za kuvuka barabara tu!!! hilo nalo ni la kuuliza sasa?? endelea naye hana tatizo,tatizo ni wewe tu
 
Mombasa raha.
Nashangaa hukujiuliza kuhusu aliyemchora
 
Back
Top Bottom