Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
Usijali hayo ni mambo ya uumbaji wa Mungu tu...
Sifa na utukufu ni vyake Bwana....acha tufurahie kazi njema ya mikono yake....
Usijali hayo ni mambo ya uumbaji wa Mungu tu...
Amen ameeen..acha macho yafanye kazi yake
Hmm kwani mko kwenye mashindano ya kufukuza upepo? kwa afya tu jaman
Nilikuwa sijui mi....kwahiyo jamaa anavyofanya kwa wiki mbili kumbe nalo tatizo...:shock:
Loool.......basi!!! mengine tupia kwenye pm...
Send me a pm
Hmmm ndo maana na mimi sijamwelewa huyo jamaa kabisa kwa kumchora mwenzie mwilini....inamaanisha nini>>
Nilishakwambia umesahau
Hahahhaha we nawe....mjengo upo ila si sanaaaa, kiasi kwamba anaweza akakaa hata wiki mbili asimtafute kbs
Hizo tattoo umezipenda Naonakwahiyo unataka kuniambia unahisi nami nimetest zali?
Nimejibu kutokana na alivyoniambia muhusika mwenyewe
The Boss tafadhali usinigeuzie kibao.....huo ni mkosi ujue