Alianza kwa meseji na tukakwambia kuwa huyu atakuja kukula tu ukanogewa, haya sasa tukusaidie nini.
Unakumbuka hii ya mwaka jana Meseji za baba yangu zinanikwaza
...lakini machale yalinicheza baada ya kutoa ushauri ndiyo ikabidi nifuatilie threads zake za nyuma. Binti mbaya sana huyu anaweza kusababisha baba yake akaishia lupango kwa miaka mingi sana.
NENDA SOMA SIKUJA KUITANGUA TORATI ILA KUIPATILIZA:
NA MUNGU ALISHASEMA KWA KINYWA CHAKE NENO LILILOTOKA KWENYE KINYWA CHAKE HALITAMRUDIA BURE LAZIMA LITIMIZE MAKUSUDI YALE ALIYOLITUMIA:
Hata kupiga kelele inakuwa shida? nina mashaka na hii stori. kukata si tu kumwambia mama pekee bali tangu tendo linaanza hata kwa kung'ata au kubinya koro..
Kama ni kweli amedanganya amemuaibisha sana babake au ni mtoti ambae mamake hajui alipewa mimba na nani hivyo hamjui babake ndio maana anaweza kuandika vibaya kuhusu baba ama mwandikaji ni mwanaume anajifanya ni mwanamke si mambo yenye busara hayo