Una hakika na ulichoandika!? Nimepitia baadhi ya threads zako humu zimenitia wasiwasi kama unasema kweli.
Baba yangu hanipendi kwasababu ya tabia zangu
Sijasoma hizo thread nyingine ila najaribu kuwaza...kama kweli wako nje ya nchi, kitendo cha kumripoti mshua maana yake ni kurudishwa Bongo na Bongo kwa sifa hiyo asahau kupata kazi nyingine (labda wamuonee huruma wamrudishe kimya kimya) na hiyo itamaanisha maisha magumu kwa watoto...nawaza tu!
Ila kama thread zake za nyuma zimekaa kimagumashi basi potezea hili wazo langu.
Cc: BAK
Kwanza haka kadogo ni ka kiume...kazushi sana.Acha utoto na ujinga si vizuri kumsingizia baba yako ili ujifurahishe hapa JF utapata laana.
Hanaga la ukweli uyo mtoto Yupo kuenjoy watu humu
hujaanza kunogewa tu wewe??mara ya kwnza christmas alikua amelewa amerud nyumban ucku akanfata chumban akanfanyia kwa lazma mama hakuepo nlibak na wadogo zng, aliponfanyia ivo akawa anakimbia km akibaki nyumban anabaki room antoka kdogo anarud room alporud mama akawa anaendelea kukimbia atoki room km akiwa nyumban. mi nkamwambia mama nataka nhamie hostel niwe narud nyumban holidays na cku 1 weekend mama alkubal baba akakataa nkanyamaza ckumwambia mama. aendagi kazin j2 jana ameenda amesahau files nymban amemwambia mama nmpelekee nmefka amenkamata kwa nguvu akanbaka tena leo asubuh ametupeleka shule km aktupeleka shule ananza kunshusha mm alafu anawapeleka wadogo zng leo ameanza kuwashusha wao alafu akanpeleka mm ameongea nicmwambie mama au m2 mwngne nkiwa nashuka ananiambia nimkiss mdomo nataka nimwambie mama naogopa nkikaa nicmwambie atanfanya tena nmeanza kumuogopa hta nkickia saut yk na naogopa kumwambia mama ntaman npotee niende mbal lakn cwez
Watu wengine bhn... HovyooooooHanaga la ukweli uyo mtoto Yupo kuenjoy watu humu