Baba yangu anamuita mke wangu “wewe”; inaleta mtafaruku

Mwanzo 2:24

Kwa hiyo Mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja.

Ni kosa kukaa kwa baba yako na mkeo.
Lazima mmoja atamdharau mwenzake.

Wahindi wanakaa ukoo mzima sehemu moja na bado kkoo wanatukimbiza kibiashara.
 
NASHUKURU SANA..........ILA UGUMU WA MAISHA NDUGU.........HAPA NATAFUTA KAZI SIKAI NIKAMALIZQ SIKU NYUMBN............ALAF NIONGEZEE TU......MIMI NI MTOTO WA MWISHO......SAMAHAN KUSEMA HVO.............NATAKA NIJUE TU NI SAHII KUITWA HVO AU LA
Dogo una umri gani?
 
Mke wangu tunaishi naye nyumbani lakini bado sijafunga naye ndoa. Nimekaaa naye yapata miaka 6 sasa. Niko naishi pia na baba yangu nyumba moja. Mke wangu analalamika kwanini baba yangu anamuita "wewe" badala ya jina lake.

Je, ni sahihi baba yangu kumuita mke wangu "Wewe"?

Naombeni mawazo yenu niweze kutatua hili jambo
Mwambie mke wako na yeye amuite mdingi
 
NASHUKURU SANA..........ILA UGUMU WA MAISHA NDUGU.........HAPA NATAFUTA KAZI SIKAI NIKAMALIZQ SIKU NYUMBN............ALAF NIONGEZEE TU......MIMI NI MTOTO WA MWISHO......SAMAHAN KUSEMA HVO.............NATAKA NIJUE TU NI SAHII KUITWA HVO AU LA
Maisha sio magumu ni wewe ndie mgumu kufikiri sawa sawa.

Ulipataje ujasiri wa kuleta binti na kuishi nae kwenu, huoni una mdhalilisha mtoto wa watu?!

Na kwann unashangaa baba yako kumwita wewe?! Si ni kwasababu kirasmi huyo binti si mkwe wake ni demu wako.
 
NASHUKURU SANA..........ILA UGUMU WA MAISHA NDUGU.........HAPA NATAFUTA KAZI SIKAI NIKAMALIZQ SIKU NYUMBN............ALAF NIONGEZEE TU......MIMI NI MTOTO WA MWISHO......SAMAHAN KUSEMA HVO.............NATAKA NIJUE TU NI SAHII KUITWA HVO AU LA
Umetukosea sana MaLast Born wa Dar, kukaa home na kuwa wa mwisho inachangia sana mkeo kuitwa wewe
 
NASHUKURU SANA..........ILA UGUMU WA MAISHA NDUGU.........HAPA NATAFUTA KAZI SIKAI NIKAMALIZQ SIKU NYUMBN............ALAF NIONGEZEE TU......MIMI NI MTOTO WA MWISHO......SAMAHAN KUSEMA HVO.............NATAKA NIJUE TU NI SAHII KUITWA HVO AU LA
Ila usihame Last Born, maana hata kwenye Biblia Yesu alituahidi anaenda kututengenezea makao kwa Baba yake, alafu sote tutaenda huko, so wewe zitakuwa za kutosha
 
Wewe babako anakuitaje? tuanzie hapo kwanza.
Pili wewe huyo sio mkeo kwakuwa hamjafunga ndoa ni mwenzako tu.
Tatu, je wewe na huyo mwenzio mmezaa mtoto/watoto? Kwani angekuwa na mtoto baba angemuita mama J, au mama Junior lakini kama hana ndio maana mzee kwa hasira anamuita tu wewe mwanamke njoo.
Dawa hapo ili usisikie hiyo habari ni kuhama tu, kama vipi mhamie hata nyumbani kwao mwanamke ili tuone kule wewe watakuitaje.
Kule ataitwa kijana njoo hapa
 
MI Nina ushauri kwako

Moja uvumilie mkeo kuitwa wewe na mzee...

Au wewe na mkeo muhame.. Mzee anawaona wote watoto tuu mngekuwa na akili msinge ishi kwake.

Mnampa mzee mzigo na majukumu mengi akulishe wewe na mkeo Tena afanye kazi nyingine kuwaheshim wewe na mkeo...?

Hapana ebu mpunguzie mzee majukumu
 
Mke wangu tunaishi naye nyumbani lakini bado sijafunga naye ndoa. Nimekaaa naye yapata miaka 6 sasa. Niko naishi pia na baba yangu nyumba moja. Mke wangu analalamika kwanini baba yangu anamuita "wewe" badala ya jina lake.

Je, ni sahihi baba yangu kumuita mke wangu "Wewe"?

Naombeni mawazo yenu niweze kutatua hili jambo
Kwanini unamuita mke hali ya kuwa hujafunga naye ndoa? Ni sawa kabisa amuite hivyo kwa sababu ni hawara yako! Blalifish
 
Yote unasababisha ww unakaaje na mwanamke miaka sita nyumbani kwa baba tena hujamuoa Tegemea mengine zaidi ya hayo
 
🇦‌🇨‌🇭‌🇪‌🇳‌🇮‌ 🇲‌🇦‌🇹‌🇺‌🇸‌🇮‌ 🇸‌🇦‌🇸‌🇦‌
🇲‌🇳‌🇦‌🇯‌🇺‌🇦‌ 🇳‌🇮‌🇲‌🇪‌🇼‌🇦‌🇻‌🇺‌🇲‌🇮‌🇱‌🇮‌🇦‌ 🇸‌🇦‌🇳‌🇦‌ 🇳‌🇬‌🇪‌🇩‌🇪‌🇱‌🇪‌ 🇳‌🇾‌🇮‌🇪‌

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Mke wangu tunaishi naye nyumbani lakini bado sijafunga naye ndoa. Nimekaaa naye yapata miaka 6 sasa. Niko naishi pia na baba yangu nyumba moja. Mke wangu analalamika kwanini baba yangu anamuita "wewe" badala ya jina lake.

Je, ni sahihi baba yangu kumuita mke wangu "Wewe"?

Naombeni mawazo yenu niweze kutatua hili jambo
Nenda ukapange ujitegemee
 
Kwani babako amekujibu je?
 
Kwanini isihame kwenu kwa wazazi wako, ukapange nyumba yenu na mkeo, watu wapo hivyo hukuita kulingana na ulivyo
 
Back
Top Bottom