Baba yangu anamuita mke wangu “wewe”; inaleta mtafaruku

NASHUKURU SANA..........ILA UGUMU WA MAISHA NDUGU.........HAPA NATAFUTA KAZI SIKAI NIKAMALIZQ SIKU NYUMBN............ALAF NIONGEZEE TU......MIMI NI MTOTO WA MWISHO......SAMAHAN KUSEMA HVO.............NATAKA NIJUE TU NI SAHII KUITWA HVO AU LA
Kwa nini ulioa bila kuwa na kipato na maandalizi ya awali kama kupanga chumba chako japo kimoja tu? Halafu ukiwa na lastborn-syndrome hutakaa uendelee
 
NASHUKURU SANA..........ILA UGUMU WA MAISHA NDUGU.........HAPA NATAFUTA KAZI SIKAI NIKAMALIZQ SIKU NYUMBN............ALAF NIONGEZEE TU......MIMI NI MTOTO WA MWISHO......SAMAHAN KUSEMA HVO.............NATAKA NIJUE TU NI SAHII KUITWA HVO AU LA
MaLast born wanajipaga hakimiliki ya kubaki nyumbani
 
We mzee ondoka nyumbani,,, kuna siku mshua atafanya jambo na mkeo..

Watu wanaogombana mwanzoni,, Mwisho wao huwa ni mtamu kama tunda la peponi.

Thank me later
 
🇦‌🇨‌🇭‌🇪‌🇳‌🇮‌ 🇲‌🇦‌🇹‌🇺‌🇸‌🇮‌ 🇸‌🇦‌🇸‌🇦‌
🇲‌🇳‌🇦‌🇯‌🇺‌🇦‌ 🇳‌🇮‌🇲‌🇪‌🇼‌🇦‌🇻‌🇺‌🇲‌🇮‌🇱‌🇮‌🇦‌ 🇸‌🇦‌🇳‌🇦‌ 🇳‌🇬‌🇪‌🇩‌🇪‌🇱‌🇪‌ 🇳‌🇾‌🇮‌🇪‌

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Yaani,unaonekana kadogo tu fulani hivi kasiko na heshima na adabu

Kwani uliombwa kuja kuomba ushauri??

Nisivyopenda ujinga asee kama ni kakaangu eeeeh ungekuwa ushahama hapo
 
NASHUKURU SANA..........ILA UGUMU WA MAISHA NDUGU.........HAPA NATAFUTA KAZI SIKAI NIKAMALIZQ SIKU NYUMBN............ALAF NIONGEZEE TU......MIMI NI MTOTO WA MWISHO......SAMAHAN KUSEMA HVO.............NATAKA NIJUE TU NI SAHII KUITWA HVO AU LA
Sasa una maisha magumu unawezaje kuoa?
 
Mpangie baba chumba, na mkeo mpangie chumba sehemu nyingine, ubaki mwenyewe kwenye nyumba ya urithi, hao wawili si ndio wamesababisha ufungue nyuzi 😂😂😂😂
 
Kuna mazingira yanaweza kutokea kumfanya mtu kuishi kwao... kwa hilo siwezi kukulaumu sana ingawa pia hata ukihama haiondoi baba yako kumuita mkeo "wewe", kwa tafsiri yangu baba yako anamdharau mkeo sana tafuta sababu kwa nini hilo lipo then fanyia kazi findings.
 
ONDOKA HAPO KWENU UKAPANGE...!! Kama ulijua hujajipanga usingetafuta mtoto mwenzio mkaenda kuishi kwente nyumba ya Mwanaume mwenzio ushakua mkubwa wewe na umeamua kuoa kimajukumu huyo sio baba ako ni Mwanaume mwenzio sasa Uache uboya.
 
NASHUKURU SANA..........ILA UGUMU WA MAISHA NDUGU.........HAPA NATAFUTA KAZI SIKAI NIKAMALIZQ SIKU NYUMBN............ALAF NIONGEZEE TU......MIMI NI MTOTO WA MWISHO......SAMAHAN KUSEMA HVO.............NATAKA NIJUE TU NI SAHII KUITWA HVO AU LA
Yan ..kabisa unaish na mwanamke wako nyumban kwenu.daaah...ila watu wenye akil hizi huwa wana matatzo flan flan hiv...niishie hapa...yaan kabisa unat.ombea kwa baba
 
Mke wangu tunaishi naye nyumbani lakini bado sijafunga naye ndoa. Nimekaaa naye yapata miaka 6 sasa. Niko naishi pia na baba yangu nyumba moja. Mke wangu analalamika kwanini baba yangu anamuita "wewe" badala ya jina lake.

Je, ni sahihi baba yangu kumuita mke wangu "Wewe"?

Naombeni mawazo yenu niweze kutatua hili jambo
Toka nyumbani kwa babako la sivyo atamkori, mzee anakumbukia ujana hahaha? Mwambie mama aongee na mshua. Kurahisisha mambo mzalishe ili aitwe mama nanii siyo miaka sita unaendelea tu kupoteza mbegu
 
NASHUKURU SANA..........ILA UGUMU WA MAISHA NDUGU.........HAPA NATAFUTA KAZI SIKAI NIKAMALIZQ SIKU NYUMBN............ALAF NIONGEZEE TU......MIMI NI MTOTO WA MWISHO......SAMAHAN KUSEMA HVO.............NATAKA NIJUE TU NI SAHII KUITWA HVO AU LA
Kwanini usingesema tu kuwa mm ni mtoto wake tu hadi ukaamua kusema mtoto wa mwisho?? Mnatutesa sana sisi last born lkn sisi wengine hatupo kama wewe😂😂😂😂
 
Mke wangu tunaishi naye nyumbani lakini bado sijafunga naye ndoa. Nimekaaa naye yapata miaka 6 sasa. Niko naishi pia na baba yangu nyumba moja. Mke wangu analalamika kwanini baba yangu anamuita "wewe" badala ya jina lake.

Je, ni sahihi baba yangu kumuita mke wangu "Wewe"?

Naombeni mawazo yenu niweze kutatua hili jambo
Alafu wewe sijui kabila gani umekaa kizembe kizembe hivo, yaani unataka heshima nyumbani kwa babako, inabidi babako akusaidie kuzalisha pia, make miaka sita mupo mupo hamueleki,
Unathibitishaje babako kamuita mkeo wewe? Sehem nyingine Tanzania hii wewe inaanza alafu jina la mhusika siyo issue.
Lakini pia unavodai babako amuite mkeo kwa jina pia hakuna heshima hapo, wewe umuite mkeo Sikujua, Sikudhani, sijui nani vile alafu na
Baba yako hajui amuite nani huyo mwanamke maana sio mkeo, so hawezi kumuita mkwe! Kwahiyo ndio maana anamuita "wewe" maana pia akimuita kwa jina lake nayo itakua sio vizuri. Mi nachoona huyo mzee atakuja kula mzigo maana sasa mpo wanaume wawili na mwanamke ambae yupo yupo haeleweki ni wa nani.
Huo ndo ukweli na huenda mshua kala alafu kakuta ganda la muwa la juzi
 
Back
Top Bottom