TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 6,735
- 20,784
Huyu mzee hapo alipo ana hasira na hawezi kamwe kumheshimu huyu jamaa wala huyo kimada wake kwa sababu:Tatizo sio kukaa sehemu moja na baba wakuu,, hapa ni suala la heshima kukosekana tu waweza kuhama ukaenda mbali lakini utashanga dingi akawa anakuja kuwatembelea kwenu na akaendelea na tabia hiyo ya kuita "wewe"
1. Wanaishi kwenye nyumba yake miaka 6 sasa! Hivi ni mzazi gani atakaefurahi kuona kijana wake kaolea kwenye nyumba ile ile aliyoolea yeye?
2. Kwa maelezo ya huyu kijana, huenda mzee ndio anagharamia kila kitu hapo ndani kuanzia chakula, maji, umeme, matibabu nk. Kama wana watoto ukute hadi bili za maziwa mzee ndio analipa.
3. Maybe ukute mwanamke mwenyewe nae hana heshima wala shukrani mzee anamuona yupo yupo tuu..? Mbaya zaidi cases kama hizi lazima utakuta mwanamke kamzidi umri huyu kijana na pengine anampelekesha so mzee akiangalia anahisi kutapika.
Huyu jamaa atakuja kumuua huyu mzee kwa presha mi nawaambia.