Huyu bado ana utoto sana.Kwamba mtoto wa mwisho unasubiri Mzee wako afe urithi huo mji au?
Sijaelewa huo utoto wa mwisho umeingiaje hapo
Kwa Nini ulioa wakati huna uwezo wa kuitunza familia?NASHUKURU SANA..........ILA UGUMU WA MAISHA NDUGU.........HAPA NATAFUTA KAZI SIKAI NIKAMALIZQ SIKU NYUMBN............ALAF NIONGEZEE TU......MIMI NI MTOTO WA MWISHO......SAMAHAN KUSEMA HVO.............NATAKA NIJUE TU NI SAHII KUITWA HVO AU LA
Mdogoangu kaolewa na mtoto wa mwisho,shemeji yangu ndio tegemezi kwao wapo watoto 6,sasa weweNASHUKURU SANA..........ILA UGUMU WA MAISHA NDUGU.........HAPA NATAFUTA KAZI SIKAI NIKAMALIZQ SIKU NYUMBN............ALAF NIONGEZEE TU......MIMI NI MTOTO WA MWISHO......SAMAHAN KUSEMA HVO.............NATAKA NIJUE TU NI SAHII KUITWA HVO AU LA
Toka hapo nyumbani kwenu upesi sana, nenda kapange hata chumba cha 5,000 uishi wewe na mkeo tu.Mke wangu tunaishi nae nyumbani lakini bado sijafunga naye ndoa.
Nimekaaa nae yapata miaka 6 sasa. Niko naishi pia na baba yangu nyumba moja.
Mke wangu analalamika kwanini baba yangu anamuita wewe badala ya jina lake.
Je, ni sahihi baba yangu kumwita mkewangu "Wewe"?
Naombeni mawazo yenu niweze kutatua hili jambo
Kwamba baba yako kaamua kutomheshimu kwa vile hamjafunga ndoa? Kwamba?? Kwamba?Mke wangu tunaishi nae nyumbani lakini bado sijafunga naye ndoa
Wewe unaona ni sahihi?Je, ni sahihi baba yangu kumwita mkewangu "Wewe"?
Kutokufunga ndoa naona ndio chanzo hapo,hawezi muheshimu anamuona kama mpita njia tuKwamba baba yako kaamua kutomheshimu kwa vile hamjafunga ndoa? Kwamba?? Kwamba?
Mkuu kwanini hamjafunga ndoa miaka yote sita?
Au ndio kaamua kujirithisha nyumba kabisa maana kuna koo ambazo mtoto wa kiume wa mwisho ndio anarithi nyumbaKuwa mtoto wa mwisho ndo nini mkuu? Acha utoto mzee toka apo om hakuna ushauri zaidi ya wewe kusepa na hutosikia tena izo kauli na siku mzee atamtongoza mkeo unamuaminije mwanaume kwenye suala la mwanamke
Sent using Jamii Forums mobile app
Si sahihi kama imekuwa ni utaratibu wake.Mke wangu tunaishi nae nyumbani lakini bado sijafunga naye ndoa.
Nimekaaa nae yapata miaka 6 sasa. Niko naishi pia na baba yangu nyumba moja.
Mke wangu analalamika kwanini baba yangu anamuita wewe badala ya jina lake.
Je, ni sahihi baba yangu kumwita mkewangu "Wewe"?
Naombeni mawazo yenu niweze kutatua hili jambo
Sawa ka last bornJAMAN ACHENI MASIHALA JMN
HII KITU NAISHI YAO KABISA
kunawenggine naona wako serios coz wana jibu ninachokiwaza mimi
NAOMBEN JAMN SIJAMLAZIMISHA MTU KUNISHAURI