eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Leo saa 2asubuhi nilipokea sms kutoka kijijini ushiri rombo mkoani Kilimanjaro na ilitoka kwa baba yangu iliandikwa hivi mwanangu nina shida na 50000 naomba unisaidie nina shida nayo ya dharura halafu akaniwekea angalizo 2015 october chagua ukawa na lowasa nimeshangaza sana kwa kua aliwahi kua balozi wa nyumba kumi kupitia ccm hiyo ndio ilikua sms yake kwanza nilipoona anataka hela nilipanga kumzungusha mpaka jumatano ijayo ila aliposema chagua ukawa na lowasa nilimpigia simu kwa kua nilifikiri kakosea kuandika ila nitamtumia mapema sasa