Baba yangu amenishangaza sana

Baba yangu amenishangaza sana

Leo saa 2asubuhi nilipokea sms kutoka kijijini ushiri rombo mkoani Kilimanjaro na ilitoka kwa baba yangu iliandikwa hivi mwanangu nina shida na 50000 naomba unisaidie nina shida nayo ya dharura halafu akaniwekea angalizo 2015 october chagua ukawa na lowasa nimeshangaza sana kwa kua aliwahi kua balozi wa nyumba kumi kupitia ccm hiyo ndio ilikua sms yake kwanza nilipoona anataka hela nilipanga kumzungusha mpaka jumatano ijayo ila aliposema chagua ukawa na lowasa nilimpigia simu kwa kua nilifikiri kakosea kuandika ila nitamtumia mapema sasa

Mtumie haraka sana baba yetu alafu ni pm no yake na Mimi nimuongezee.
 
mtumie haraka wasije ccm wakajua halafu wakampa rushwa
 
Leo saa 2asubuhi nilipokea sms kutoka kijijini ushiri rombo mkoani Kilimanjaro na ilitoka kwa baba yangu iliandikwa hivi mwanangu nina shida na 50000 naomba unisaidie nina shida nayo ya dharura halafu akaniwekea angalizo 2015 october chagua ukawa na lowasa nimeshangaza sana kwa kua aliwahi kua balozi wa nyumba kumi kupitia ccm hiyo ndio ilikua sms yake kwanza nilipoona anataka hela nilipanga kumzungusha mpaka jumatano ijayo ila aliposema chagua ukawa na lowasa nilimpigia simu kwa kua nilifikiri kakosea kuandika ila nitamtumia mapema sasa

Unashangaa nini wakati baba yako anatokea hukohuko UMOJA WA KASKAZINI WALIOPOTEA (UKAWA)
 
Yesuu kilimnjaro yote hakunapahali panaitwa ushirombo aisee huku kwetu ni rombo,mkuu,tarakea mashati ushirombo nikwawasuma umedanganya arawa
 
Kilimanjaro kuchagua UKAWA ni la kushangaza?
Lowassa anaungwa mkono asilimia 80 kwa mikoa Manyara,Kilimanjaro na Arusha...

Angekuwa baba yako yuko Sumbawanga au Geita hapo ningeshangaa
Sasa mbunge wa sumbawanga unajua anatoka chama gani?
Geita ni ngome ya CHADEMA Bro angalia wenyeviti wa mitaa ni CHADEMA tupu.
 
Hata mimi nimeshangaa Meku lakini alivyosema Ushiri nikajua labda ni kakitongoji huko Rombo ila Ushirombo ipo Geita.
 
Leo saa 2asubuhi nilipokea sms kutoka kijijini ushiri rombo mkoani Kilimanjaro na ilitoka kwa baba yangu iliandikwa hivi mwanangu nina shida na 50000 naomba unisaidie nina shida nayo ya dharura halafu akaniwekea angalizo 2015 october chagua ukawa na lowasa nimeshangaza sana kwa kua aliwahi kua balozi wa nyumba kumi kupitia ccm hiyo ndio ilikua sms yake kwanza nilipoona anataka hela nilipanga kumzungusha mpaka jumatano ijayo ila aliposema chagua ukawa na lowasa nilimpigia simu kwa kua nilifikiri kakosea kuandika ila nitamtumia mapema sasa
Nahisi wewe uwezo wako wa kufikiri ni mdogo. Yaani usitimize wajibu wako kwa mzazi sababu ya Siasa eti umzungushe sbb ya siasa na sasa utatuma hela sbb ni mwana Ukawa. Ujinga huo.
 
Nafahamu sana huyo baba yako tulianza nae mbali.Tulikua nae NCCR,TLP NA SASA CHADEMA KAMA SIJAKOSEA ALIKUSHAURI BILA KUPIMA HATA SASA KAKUPOTEZA MPE PESA AKAWAHI CHIBUKU YAKE YA MBEGE
 
Kilimanjaro kuchagua UKAWA ni la kushangaza?
Lowassa anaungwa mkono asilimia 80 kwa mikoa Manyara,Kilimanjaro na Arusha...

Angekuwa baba yako yuko Sumbawanga au Geita hapo ningeshangaa

Watake radhi, bora ungesema dodoma na Pwani.
 
Leo saa 2asubuhi nilipokea sms kutoka kijijini ushiri rombo mkoani Kilimanjaro na ilitoka kwa baba yangu iliandikwa hivi mwanangu nina shida na 50000 naomba unisaidie nina shida nayo ya dharura halafu akaniwekea angalizo 2015 october chagua ukawa na lowasa nimeshangaza sana kwa kua aliwahi kua balozi wa nyumba kumi kupitia ccm hiyo ndio ilikua sms yake kwanza nilipoona anataka hela nilipanga kumzungusha mpaka jumatano ijayo ila aliposema chagua ukawa na lowasa nilimpigia simu kwa kua nilifikiri kakosea kuandika ila nitamtumia mapema sasa

Nmependa sana
Hivyo ndo inavyotakiwa lazma baba anayejielewa amkumbushe kijana wake mambo muhimu
 
Sasa mbunge wa sumbawanga unajua anatoka chama gani?
Geita ni ngome ya CHADEMA Bro angalia wenyeviti wa mitaa ni CHADEMA tupu.
Usisahau, wale walipatikana kwa chadema ile, si hii ya lowasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom