Baba yangu amenishangaza sana

Baba yangu amenishangaza sana

Unashangaa nini wakati baba yako anatokea hukohuko UMOJA WA KASKAZINI WALIOPOTEA (UKAWA)

Huko ccm bado IPO mzee japo jimbo linaongozwa na cdm sasa unapoona wanabadilika lazima ushangae
 
Yesuu kilimnjaro yote hakunapahali panaitwa ushirombo aisee huku kwetu ni rombo,mkuu,tarakea mashati ushirombo nikwawasuma umedanganya arawa

Mkuu hicho ni kijiji kinaitwa ushiri tarafa ya mkuu
 
Ya kutunga hiyo. Hakuna kijiji kama hicho kilimanjaro.
 
Nahisi wewe uwezo wako wa kufikiri ni mdogo. Yaani usitimize wajibu wako kwa mzazi sababu ya Siasa eti umzungushe sbb ya siasa na sasa utatuma hela sbb ni mwana Ukawa. Ujinga huo.

Hata hivyo ningempatia kwa kua ni baba yangu ila amenifurahisha alivyotaja neno ukawa na lowasa
 
Kilimanjaro kuchagua UKAWA ni la kushangaza?
Lowassa anaungwa mkono asilimia 80 kwa mikoa Manyara,Kilimanjaro na Arusha...

Angekuwa baba yako yuko Sumbawanga au Geita hapo ningeshangaa

Hakuna sehemu Lowassa anakubalika (kutoka moyoni) kama kanda ya ziwa. Magufuli japo ni mzaliwa wa eneo hili lakini hamfikii Lowassa. Hata Slaa anakubalika sana kwenye hili eneo. Nadhani watu wengi wamechoka na CCM.
 
Leo saa 2asubuhi nilipokea sms kutoka kijijini ushiri rombo mkoani Kilimanjaro na ilitoka kwa baba yangu iliandikwa hivi mwanangu nina shida na 50000 naomba unisaidie nina shida nayo ya dharura halafu akaniwekea angalizo 2015 october chagua ukawa na lowasa nimeshangaza sana kwa kua aliwahi kua balozi wa nyumba kumi kupitia ccm hiyo ndio ilikua sms yake kwanza nilipoona anataka hela nilipanga kumzungusha mpaka jumatano ijayo ila aliposema chagua ukawa na lowasa nilimpigia simu kwa kua nilifikiri kakosea kuandika ila nitamtumia mapema sasa

We mpumbavu ulipanga kumzungusha babayako ambae amefulia ila ulivyosikia amehamia ukawa ndo ukamuona wa muhimu...kweli wewe nyumbu
 
Kilimanjaro kuchagua UKAWA ni la kushangaza?
Lowassa anaungwa mkono asilimia 80 kwa mikoa Manyara,Kilimanjaro na Arusha...

Angekuwa baba yako yuko Sumbawanga au Geita hapo ningeshangaa
sumbawanga ipi unayoisema hapa ? hebu muulize pinda .
 
Yesuu kilimnjaro yote hakunapahali panaitwa ushirombo aisee huku kwetu ni rombo,mkuu,tarakea mashati ushirombo nikwawasuma umedanganya arawa

Soma vizuri Ushiri Rombo!sii Ushirombo!
 
Wabongo bwana hapo Ungesema Baba yako alisema umpigie Magufuli, matusi ambayo ungetukanwa wewe na Baba yako yangekuwa jumla ya matusi yote ambayo umewahi kutukanwa.....
 
We mpumbavu ulipanga kumzungusha babayako ambae amefulia ila ulivyosikia amehamia ukawa ndo ukamuona wa muhimu...kweli wewe nyumbu
Ukitukana tu pasipo kutafakali hii post yake unaweza kujishangaa baadae. 1: Baba kafulia kutokana na maisha bora feki kwa kila mtanzania ( CCM ). 2: Kijana ameamua kumtumia baba fedha mapema kwasababu anajua sasa baba na mwana wapo katika safari ya matumaini (UKAWA). Watanzania kwa sasa wanaimani zaidi na Lowassa / UKAWA kuliko hata Raisi aliyepo. Watu wana tamani JK / CCM itoke hata kesho asubuhi.
 
Kilimanjaro kuchagua UKAWA ni la kushangaza?
Lowassa anaungwa mkono asilimia 80 kwa mikoa Manyara,Kilimanjaro na Arusha...

Angekuwa baba yako yuko Sumbawanga au Geita hapo ningeshangaa
Always thoughtful comments. You are a voice of reason and I salute you sir.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom