Baba wa Taifa mwalimu Nyerere akitoa hotuba 1964

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1553162974093.jpeg

Katika hotuba hii alielezea mpango wa Taifa wa maendeleo wa miaka mitano. 1964-1969.
 
Enzi hizo alikuwa anapendeza mana Suti yake kabla hajaenda China na kukutana Na Mi Komunist iliyombadilisha kuanzia kifikra mpaka kimavazi
 
Enzi hizo alikuwa anapendeza mana Suti yake kabla hajaenda China na kukutana Na Mi Komunist iliyombadilisha kuanzia kifikra mpaka kimavazi

Kwani hata hayo mavazi si kaiga kutoka katika nchi za maghatibi!;, sasa unashangaa kitu gani alipokwenda kuiga mavazi ya wachina (the collar less suit/ Chuen Lai). ilitakiwa avae mgolole au lubega la kimasai 🤣.
 
Back
Top Bottom