Tena namba mojaKumbe baba wa Taifa nae alikuwa mchochezi
ahsante kwa taarifa mm yote hayo nilikuwa siyajui.Yeye Mwenyewe alikataa ukweli aliokuwa anaambiwa na kina Hayati Christopher Kassanga Tumbo na Oscar Kambona kuwa kuwanyang'anya Mashamba Makubwa Wakulima na kuyageuza ya Vijiji vya Ujamaa kungeua Morali ya uchapakazi kwa wale Wakulima hodari akabisha Matokeo yake Taifa likaangamia kwa uhaba Mkubwa kabisa kuwahi kutokea 1972-1974.
Kwny Ubishi Jembe la Chatto limerithi ubishi huo toka kwa Jembe la Butiama sema tu Vijana wengi hamkushuhudia Utawala wake mnasoma tu nukuu zake.
Sheria kandamizi ya Vyombo vya habari 1976 ilikuwa ni kuzuia asisikie asiyoyapenda
Uamuzi wa kufuta Vyama vingi 1965 ilikuwa ni sawa na hamu ya Bwana Mkubwa wa sasa wa kutaka Malaika washuke kuzima Mitandao.
Tofauti Yao ni moja Huyu wa Sasa anaingia front mwenyewe kuchana live Yule wa Zamani alikuwa akiwatumia kina Simba wa Vita Mzee Rashid Mfaume Kawawa na wengine
Umetufumbua macho mkuuYeye Mwenyewe alikataa ukweli aliokuwa anaambiwa na kina Hayati Christopher Kassanga Tumbo na Oscar Kambona kuwa kuwanyang'anya Mashamba Makubwa Wakulima na kuyageuza ya Vijiji vya Ujamaa kungeua Morali ya uchapakazi kwa wale Wakulima hodari akabisha Matokeo yake Taifa likaangamia kwa uhaba Mkubwa kabisa kuwahi kutokea 1972-1974.
Kwny Ubishi Jembe la Chatto limerithi ubishi huo toka kwa Jembe la Butiama sema tu Vijana wengi hamkushuhudia Utawala wake mnasoma tu nukuu zake, ulizeni Wazee wenu Kwanini tulimwita 'Bwana Haambiliki'?
Ilikuwa ukimkosoa tu unapewa Jina 'Kibaraka wa Mabeberu na Makabaila' sawa na sasa hivi kuitwa 'Mpiga Dili '