Mimi Sipendi Uzushi, Ila Nimeshitushwa, Hata Picha ambazo huyu Jamaa, Franklin Marshall Davis, alizompiga Mama yake Obama akiwa kama, "Baba wa Kambo" wa Mama huyu ziliashiria walikuwa na Mchezo mbaya Na hata Shuhuda zake zilionyesha alikuwa akiwauza wasichana!
Natoa angalizo Kuwa Mimi siungi mkono wa maneno machafu yaliyoambatanishwa na Picha hii, Nachotaka ni kuonyesha uhusiano wa binti huyu uliokuwepo na Jamaa huyu.
DNA Huwezi Kumlazimisha Mtu Kuifanya na Obama hatakubali, Swali kuwa huyu jamaa ni kweli aliishi na Bibi yake Obama na Mama yake Kabla hata Obama hajazaliwa halina ubishi, Kuwa Obama anafanana naye sana halina Ubishi, Kuwa Obama amemzungumzia sana huyu Jamaa kama mtu aliyemtunza na kumpa mtazamo wa Dunia. Sasa Sijui Kwanini Dunia Imejaa hadaa hivi. HAPA KUNA UKWELI!