Baba wa mmoja wa vijana waliouawa na miili yao kutupwa Mapinga asema mwanaye ni kama alinyongwa na kupigwa kwenye moyo

Baba wa mmoja wa vijana waliouawa na miili yao kutupwa Mapinga asema mwanaye ni kama alinyongwa na kupigwa kwenye moyo

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Yani hawa walikamatwa na nani? Maana ukisikiliza maelezo ya huyu mzee anadai kwamba walikamatwa ila ndio hatujui ni wakina nani?

Je, ni kuna dili walilicheza ambalo walikwenda kinyume cha makubaliano kwahiyo wenzao wameamua kuwamaliza?

Maana wakati mwingine nao ndugu zetu bodaboda wanajiingiza kwenye madili ya hatari sana

Haya tusubiri huo uchunguzi
==================

Baba wa mmoja wa vijana wanne ambao miili yao iliokotwa na Jeshi la Polisi mkoani Pwani, Juma Mmombo amesimulia namna mwanaye alivyokamatwa na baadaye mwili wake kupatikana ukiwa na majeraha maeneo mbalimbali.

Soma Pia: Miili ya vijana wanne waliouawa yaokotwa barabara ya Mapinga kuelekea Kibaha

Kuna video inawaonesha vijana wakirusha mawe kwenye picha ya mama. Zipo taarifa kwamba ndo hao wamekutwa wamekufa.

This is sickening.
Yaan awamu hii hawachek na wowote yaan kaishu kadogo tu wanakumaliza
 
Kuna video inawaonesha vijana wakirusha mawe kwenye picha ya mama. Zipo taarifa kwamba ndo hao wamekutwa wamekufa.

This is sickening.
Sasa picha wamemaliza chaula na bado wameendelea...

Inatia hasira aseee
 
Wale walikuwa wazee wa vishandu na hata taswira zao tu zinaonekana itakuwa walikutana na raia wenye hasira kali
 
Hao itakuwa Hawa mchana boda usiku panga kituoni akikukuta barabarani lazima uporwe Kila kitu au akuue ukipona kakutia kilema Bora wamalizwe tu
 
Kuna video inawaonesha vijana wakirusha mawe kwenye picha ya mama. Zipo taarifa kwamba ndo hao wamekutwa wamekufa.

This is sickening.
Nilijua tu,kama siyo vibaka basi ni huku tunakoelekea kupazoea!!
 
Back
Top Bottom