Baba wa Mhe. Joseph Selasini Afariki

Baba wa Mhe. Joseph Selasini Afariki

Ni Mimi Msiogope

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
352
Reaction score
201
TANZIA:

Baba yangu Mzazi Mzee Roman Selasini Amefariki Jioni ya Leo saa 12:15 Katika hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa akiendelea na Matibabu.
R.I.P My Dad.

Joseph Roman Selasini
MB-Rombo
CHADEMA



Source: Mhe. Selasini on Social Networks
 
Sad.
Jamaa kapoteza watu wengi wa karibu nae kwa kipindi kifupi.
Ye bado hajapona mkono, mkewe bado hajapona shingo baada ya ajali mbaya iliyoua nduguze wengine.
Pole sana Kamanda
 
Dah ulale pema
Mzee wetu na diwani wa muda mrefu kata ya makiidi. Pole sana mh. Selasini.
 
Sad.
Jamaa kapoteza watu wengi wa karibu nae kwa kipindi kifupi.
Ye bado hajapona mkono, mkewe bado hajapona shingo baada ya ajali mbaya iliyoua nduguze wengine.
Pole sana Kamanda

dah.! Ndio yule aliepata ajali hivi karibuni, leo kafiwa na babake pole sana kamanda.!
 
aaah... Mh Selasini pole sana na mungu awape nguvu kipindi hiki kigumu. RIP baba wa Selasini.
 
Pole sana Mh. Selasini. The darkest hour comes before dawn! R.I.P. mzee wetu Roman Selasini.
 
Pole sana ndugu, ni kipindi cha mapito yasiyo na kifani.
Mwenye enzi ailaze mahali pema peponi Roho ya mzee wetu.
AMEN.
 
Duh! Pole sana Kamanda. Ninaona unavyopita katika kipindi kigumu. Ila nafahamu imani yako kwa Mungu. Natumaini atakupelekea Roho wake akutangulie na kukupa nguvu na faraja katika mapito haya. Roho ya marehemu ipate rehema kwa Mungu, apumzike kwa amani. Aamen!
 
Poleni Mheshimiwa Selasini na Dr Lamwai
Bwana alitoa na Bwana ametwaa!Jina la Mungu lihimidiwe!
 
Pole Kaka Joseph. Ni mipango ya Mungu. Mungu ametoa na kutwaa. Uwe na uvumilivu..
 
Poleni sana Dr Masumbuko Selasini Lamwai na Joseph selasini kwa kumpoteza baba yenu mzee Selasini.
 
Pole sana kamanda.mungu ampokee baba yetu kwenye ufalme wake wa milele.
 
Back
Top Bottom