Baba V.

Baba V.

noahism kwanza hongera kwa kubadili avatar,
inaonyesha ulimjua Mungu wako toka utotoni,

Wale akina noa wako imekuwaje au umewachukua tena?

Kuhusu majimbo wewe bado mdogo hautakiwa kujua vitu kama
hivyo, umesikia eeh.

Una majimbo mangapi?
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi kwa mtoto hatakiwi kujifunza? na mie si nitakua ... akina noa wapo, kuna kipindi nguvu ya Mungu hunitawala na ndio maana kuna mabadiliko kua signature na avatar, niambie basi majingo mangapi vile?

noahism ukikua utajua bila kuambiwa,
subiri wakati utafika tu,
'signature' mbona haujaweka?
angalia ya Mamdenyi inayosema ' siyo wote wanaotanga .............'
kama sijakosea unaingia pale juu kabisa kwenye 'settings'

Mamndenyi Tumshukuru Mungu Kwa wema wake, baraka zake na kila tendo kuu alilo tenda kwetu kwa kadri ya mapenzi yake kwetu. Usiku Mwema.
noahism ukikua utajua bila kuambiwa,
subiri wakati utafika tu,
'signature' mbona haujaweka?
angalia ya Mamdenyi inayosema ' siyo wote wanaotanga .............'
kama sijakosea unaingia pale juu kabisa kwenye 'settings'
 
Last edited by a moderator:
Hili nalo linahitaji degree kujua!?? mimi ni mdau sana jukwaa lile na nilikuwemo kwe thread husika

Lile jukwaa usipokuwa na uvumilivu unaweza kumpa mtu za pua, za uso, mtama.... Na hapo mods lazima wakulime ban.... Pole sana Baba V natumaini huko kifungoni unapewa hata mkate
 
Last edited by a moderator:
anakula mandondo...a.k.a vyama vingi!!

Lile jukwaa usipokuwa na uvumilivu unaweza kumpa mtu za pua, za uso, mtama.... Na hapo mods lazima wakulime ban.... Pole sana Baba V natumaini huko kifungoni unapewa hata mkate
 
Last edited by a moderator:
Hivi kuna pipo wanazoea kule? basi ana kipaji babaangu...!!

hahahaha hii imenichekesha babaangu aisee kipaji maalum inawezekeka akawa anacheo cha unyampala kule tundu sita.
 
Lile jukwaa usipokuwa na uvumilivu unaweza kumpa mtu za pua, za uso, mtama.... Na hapo mods lazima wakulime ban.... Pole sana Baba V natumaini huko kifungoni unapewa hata mkate

Wamemchapa Ban nyingine tena
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom