Alipeleka mambo ya chit-chat kwenye lile jukwaa tata yakamkuta.
Wana chit chat habari zenu. Imekuwaje jamani, Baba V hata akakula BAN. Nini kimempata?
mbona kashazoea hayo makitu ya kushinda Segerea
Makubwa!!! Kumbe kawaida yake. Pengine kala life ban.
Alikuwa anabishana na akina Mwigulu kule siasani kikamuwakia
Hivi kuna pipo wanazoea kule? basi ana kipaji babaangu...!!
Hili nalo linahitaji degree kujua!?? mimi ni mdau sana jukwaa lile na nilikuwemo kwe thread husika