mwananthropolojia
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 956
- 658
Yeah . .
Mie mzima kabisa.
ha ha ha ahaaah!! Hapo ndio pagumu mkubwa, yaani nikimnanihii, nami nafanywa hivyohivyo......haiwezekani.
whatever you do to her i will do to you! Mmmmm haka kajamaaa ni kamende aisee!
basi nmategemea haki itatendeka,kesi zangu zote nitakupa ww
aliniroga, hadi nikaamua kumuachia madaraka yake, pia alinitishia kuninyima mwanae vivian
whatever you do to her i will do to you! Mmmmm haka kajamaaa ni kamende aisee!
Naona kina mswati mnazidi kumiminika kwa wingi tu . . hongereni.
CC Arushaone
Plus all the pendapenda group . . . Erickb52, Mr Rocky na Vin Diesel
nitoe kwenye hilo kundi!
Nilikuwa na mpango wa kuomba undugu kwa familia hii ya Baba V lakini huu mkwara umenikimbiza........
View attachment 98216