Nilikuwa na mpango wa kuomba undugu kwa familia hii ya Baba V lakini huu mkwara umenikimbiza........
View attachment 98216
ah hafai kabsa,acha awaoe mwenyewe watoto wake, Katavi hiv watoto wake ni akina nan?
Mmmmmmh....haya bwanaNa nina mpango wa kuzi update hizo ziwe ndo sheria za mahusiano humu chit chat ili heshima iwepo, nimepeleka rasimu kwa wanasheria akina Ruttashobolwa, Judgement na Kipipi...
Na nina mpango wa kuzi update hizo ziwe ndo sheria za mahusiano humu chit chat ili heshima iwepo, nimepeleka rasimu kwa wanasheria akina Ruttashobolwa, Judgement na Kipipi...
Kipipi si atanimaliza kama ndio hivyo
Mkuu kwani nina tatizo na wewe??
Just understand . . . hata kama ningekuwa na chuki na wewe bado maadili ya kazi yangezingatiwa.
Si kwako tu, hata kwa wengine pia.
Ofcourse for the public interest.
BTW; Habari yako binafsi?
lol! nipo poa,nimekumiss,glad u r back, i hope usharecover fully