Mtendaji wa kaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 334
- 60
Inawezekana mama anamwitaga jina lake la Robert na sio aunt.Mtoto wa miaka mitatu anajua jina la hawara wa mama yake?????? Hii hadithi hata shigongo asingeichapisha. Angesema "anko" atalala wapi shigongo angeweza kufikiria kuitupa page ya saba kwenye gazeti la uwazi.
Mtoto wa miaka mitatu anajua jina la hawara wa mama yake?????? Hii hadithi hata shigongo asingeichapisha. Angesema "anko" atalala wapi shigongo angeweza kufikiria kuitupa page ya saba kwenye gazeti la uwazi.
Inawezekana mama anamwitaga jina lake la Robert na sio aunt.
Jina lakoo zuriii mkuu
baki hapo hapo nakuja
Jina lakoo zuriii mkuu
Mtoto wa miaka mitatu anajua jina la hawara wa mama yake?????? Hii hadithi hata shigongo asingeichapisha. Angesema "anko" atalala wapi shigongo angeweza kufikiria kuitupa page ya saba kwenye gazeti la uwazi.
Kinakushangaza nini kwani mtoto wa miaka 3 haongei au huna mtoto!!!?? Wakwangu anajuwa majina ya watu wote ndani ya nyumba
Nitalala humo humo ndani mwenu,mimi baba yako mwenza.
We dogo uwe na heshima. Mjukuu wangu ana miaka 21 sasa. Sijauliza kuongea hapa we kijana, nimeuliza alijuaje jina 'robert"??? kuna uwezekano wowote mama wa huyu mtoto alimtambulisha binti yake kuwa huyu nayelala naye anaitwa Robert??? Ukishakuwa mkubwa utakuja kujua kuwa mwizi huwa hatambulishi anapoiba. Uwe na nidhamu siku nyingine na umkanye mwanao kwa ukosefu wa nidhamu. Kiafrika mtoto wa miaka mitatu hawezi kumwita mtu wa umri wa mama yake kwa jina lake halisi..... labda kama ni msukule. Nimemaliza
Mwalimu snowhite, naomba msamaha.
tell me......... mtoto hajui jina la baba yake, atajuaje jina la hawara ya mama yake???? huyo mwanamke atakuwa hana akili kiasi gani cha kumtambulisha mwanae wa miaka mitatu kuwa "huyu anaitwa Robert???" Ukikua UTAJUA HII NI HADITHI..... There is no way mama kalala na buzi kwenye kitanda cha mmewe afu akamtambulisha mwanaye kuwa analala na "Robert". Labda na yeye awe kiazi..... sijasema kama wewe kwakuwa wewe bado unajifunza...... hapa mjukuu wangu Heaven on Earth, najua utakuwa umenielewa..... Ramadan Kareem....:A S wink:Unawajua watoto wa siku hizi! hivi mtoto wa miaka 3 hawezi kukariri jina? hii ni kweli wala cyo story za akina shigongo