Baba Ubaya Style

Baba Ubaya Style

DEVINE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
536
Reaction score
87
Jama nina swali ivi ule mtindo wa wanafunzi kwenda shuleni namna ya baba ubaya (style) upo? Na kama upo maeneo gani na kwanini unaendelea? Maana nakumbuka ile kitu ilikuwa inapatikana kwenye fomu ya kujiunga (joining instructions).Sijui sasa..
NB;Baba Ubaya style,mtindo wa kwenda shuleni na mapanga,majembe,reki,sime hata visu.
 
Mbona umesahau ndoo, fyekeo..na dawati?? upo sana tu!!
 
nimeipenda hii kitu kwa shule nyingi za bweni na kata sasa hivi..
 
mkubwa bora umenikumbusha maana nimesha sahau
 
Back
Top Bottom