AMINATA 9
JF-Expert Member
- Aug 6, 2011
- 2,120
- 641
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaNdo yaleyale ya mtoto wa Bilgates
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaNdo yaleyale ya mtoto wa Bilgates
duu nilikuwa sijui kama chuma chakavu ni neno la kimakonde! je unaweza kunipa tafsiri yake kwa kiswahili?mkuu wala usibishe uchaguzi wa username yako hii pia inatoa mwanga flani lol!
...huu sasa ukorofi!
mkeo ana elimu gani?
mtoto wako atakuwa na akili sana na msomi,wengi hawajui kwamba Rostam ni Harvard graduate na hajawawi kumshikia mtu bastola ni akili kumkichwa -kimjinimjini.shukran kwa hongera itabidi dogo nimlee awe na maadili mema sana tofauti kabisa na mtuhumiwa
kwani mtoto wa bill gates anaitwa nani?
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
to be honest, kwa maisha ya leo kumuita mwanao rostam ni sawana kumuita jambazi
Haya baba Rostam maana inawezeka umelitoa mwenyewe unamsingizia mkeo na we si unaitwa nani Aziz?Please you nid to think twice kabla mambo hayajahrbika mbeleni. Hivi mnataka watoto wenu waje kuwalaani sababu ya majina mliowapa wakati wadogo? Hilo jina linaweza kuja mcost huko mbeleni hasa katika mambo ya ajira. Anaweza fikiriwa fisadi ingw ni mtu mwema 2. Hy ni mwz yangu lkn.[/QUOTE
Ok, hilo laweza tokea iwapo unaaminii huko mbeleni watakuwa wanaajiri kwa kuzingatia majina badala ya qualifications!]
Kumbuka mwanao anaweza kuja kuwa mwanasiasa. Hebu fikiri baada ya miaka kumi mbele aje mtu agombee uraisi anaitwa JK we utampa kura yk?Haya baba Rostam maana inawezeka umelitoa mwenyewe unamsingizia mkeo na we si unaitwa nani Aziz?
Kwani jina limeandikwa usoni kwa mtoto? Fanya mgomo. Mpe jina unalolitaka wewe. Akiishakua atachagua mwenyewe lipi analipenda baada ya ninyi kumueleza kwa nini kila mtu alimchagulia jina tofauti. WaSpaniola wana majina hata sita.duu! msala, ila kwa kuwa ulishakubali yeye achague jina hiyo ni ahadi na ukiivunja utakuwa huna msimamo lakini hilo ni jina tu kuhusu tabia ataiga kuanzia kwenu wazazi,kwa majirani au kwenye jamii kwa ujumla ila msingi wa tabia jitahidi mjenge nyie wazazi! pole sana BABA 'FISADI'
Kwani katika ukoo wao(mkeo) majina yameisha? Angeweza kumpatia hata jina la kibantu la babu yake kuliko hilo la fisadi.