Baba Rostam!

to be honest, kwa maisha ya leo kumuita mwanao rostam ni sawana kumuita jambazi
 
shukran kwa hongera itabidi dogo nimlee awe na maadili mema sana tofauti kabisa na mtuhumiwa
mtoto wako atakuwa na akili sana na msomi,wengi hawajui kwamba Rostam ni Harvard graduate na hajawawi kumshikia mtu bastola ni akili kumkichwa -kimjinimjini.
 
kuna kibaka anaitwa kambarage .... Jina pekee si tija, but calling a son rostam is a recipe for bullying and cursing
 
Kwani katika ukoo wao(mkeo) majina yameisha? Angeweza kumpatia hata jina la kibantu la babu yake kuliko hilo la fisadi.
 
Please you nid to think twice kabla mambo hayajahrbika mbeleni. Hivi mnataka watoto wenu waje kuwalaani sababu ya majina mliowapa wakati wadogo? Hilo jina linaweza kuja mcost huko mbeleni hasa katika mambo ya ajira. Anaweza fikiriwa fisadi ingw ni mtu mwema 2. Hy ni mwz yangu lkn.[/QUOTE
Ok, hilo laweza tokea iwapo unaaminii huko mbeleni watakuwa wanaajiri kwa kuzingatia majina badala ya qualifications!]
Haya baba Rostam maana inawezeka umelitoa mwenyewe unamsingizia mkeo na we si unaitwa nani Aziz?
 
Hakuna ubaya.......ni jina tu na umpongeze mkeo!

Rostam (Persian: رستم, pronounced [ɾostæm, ɾʊstæm]) is the national hero of Greater Iran from Zabulistan in Persian mythology and son of Zal and Rudaba. In some ways, the position of Rostam in the historical tradition is parallel to that of Surena, the hero of the Carrhae. His figure was endowed with many features of the historical personality of Rostam. The latter was always represented as the mightiest of Iranian paladins, and the atmosphere of the episodes in which he features is strongly reminiscent of the Arsacid period. He was immortalized by the 10th century poet Ferdowsi of Tus in the Shahnameh or Epic of Kings, which contain pre-Islamic folklore and history.
 
Hongera sana, kwa ajili ya jina ongeza jina lako la kinyumbani kwenu lenye kuonyesha utukufu kwa MUNGU zaidi.

baby_boy.gif
 
mbona jina ni zuri tu wala wasikutishe hakuna baya lolote kwa huyo mtoto litakalotokea usiogope
 
Hivi mnaamini Rostam ni fisadi sana kuliko wengine? Hivi mnaamni mchawi wa Watanzania ni Rostam? Tatizo sio Rostam. Tatizo ni CCM. Chama lege lege na Serikali legelege huzalisha mfumo ambao ndio huzalisha mafisadi. Hao. Hao mafisadi wapo hadi kwenye taasisi za umma. Tatizo la Ufisadi Tanzania ni mfumo wala sio Rostam
 
duu! msala, ila kwa kuwa ulishakubali yeye achague jina hiyo ni ahadi na ukiivunja utakuwa huna msimamo lakini hilo ni jina tu kuhusu tabia ataiga kuanzia kwenu wazazi,kwa majirani au kwenye jamii kwa ujumla ila msingi wa tabia jitahidi mjenge nyie wazazi! pole sana BABA 'FISADI'
Kwani jina limeandikwa usoni kwa mtoto? Fanya mgomo. Mpe jina unalolitaka wewe. Akiishakua atachagua mwenyewe lipi analipenda baada ya ninyi kumueleza kwa nini kila mtu alimchagulia jina tofauti. WaSpaniola wana majina hata sita.
 
Kwani katika ukoo wao(mkeo) majina yameisha? Angeweza kumpatia hata jina la kibantu la babu yake kuliko hilo la fisadi.

wife kasema kalipenda jina hilo na kama ujuavyo hata sisi wenyewe tumekuja kujitambua huku tayari washatubatiza majina na mzazi anachagua jina kutokana na sababu zake anazozijua, wengine wanarithisha ya wajomba,shangazi,babu n.k au wengine jina linalomnogea kutamka mdomoni anampa mwanae na hata wengine hudiriki kuwapa watoto majina ya wapenzi wao wa zamani!
 
Back
Top Bottom