Baba Padre Bwana !!

Baba Padre Bwana !!

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
450
PADRE aliwauliza waumini PADRE: Ni kiungo gani cha mwili hupatikana katika sehemu iliyojificha na kina wingi wa unyevunyevu kinaweza kufanya ndoa iwe imara sana au kuyumbisha??? WAUMINI: Kimya huku wameinamisha vichwa......... PADRE: Inukeni niwaonyeshe, ni Hiki akagusa ULIMI, na kuwaambia mlifikiri nini! ............. akili zenu mbovu waone kwanza, mnawaza ngono tu.
 
mimi nolifikiri ulimi hata kabla hujasema
 
Ahsante baba padre wengi walikuwa wanwaza mabaya walishindwa hata kufumbua macho yao ulipowaambia hiki hapa .
 
Alivyosema 'kinaweza kufanya ndoa kuyumba' mawazo yangu yakaenda mbaali sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom