Tatizo ule mkono wa kwa Mtogele una mengi, licha ya usafi pia kuna sayansi ya zongo mle mle.Jamaa wako makini sana, yaani anakupakulia huku kavaa gloves. Sisi huku Kwa Mtogole mama ntilie anakupakulia samaki kwa mkono tu na siku ya pili ukiumwa tumbo matibabu juu yako.
hapo sasa!Tatizo ule mkono wa kwa Mtogele una mengi, licha ya usafi pia kuna sayansi ya zongo mle mle.
Sio Kumsifia kwa kuwa Obama kinachotakiwa ni kupata fundisho. Kwani unaona huyo binti anamudu kabisa hiyo kazi. Sio sisi huku mtu akipata kidogo mtoto hamna kugusa kazi. Be positive chukua somo hapo!Hapa sisemi neno kwa kuwa kafanya Obama subiri watakavyomsifia
Feki feki...!kwa ajili ya kiki
Rais wa Marekani Barack Obama aliamua kumtembelea mwanawe Sasha Obama eneo analofanya kazi,na kumsaidia kwenye majukumu yake.
Sasha amekuwa akihudumu kwenye mkahawa mmoja wa kuuza samaki huko Amerika
Alikuwa anatoa lokuHuyu ndio yule vyombo vya habari viliripoti kuwa alikutwa anavuta ile kitu ya meru?
Hahaa kweli brooTatizo ule mkono wa kwa Mtogele una mengi, licha ya usafi pia kuna sayansi ya zongo mle mle.
sio huyu aliekua anajiafande sele ni maliaHuyu ndio yule vyombo vya habari viliripoti kuwa alikutwa anavuta ile kitu ya meru?
Sina hakika kwa Afrika baba akiwa Rais kama watoto watafanya kazi kama hizi
Rais wa Marekani Barack Obama aliamua kumtembelea mwanawe Sasha Obama eneo analofanya kazi,na kumsaidia kwenye majukumu yake.
Sasha amekuwa akihudumu kwenye mgahawa mmoja wa kuuza samaki huko Amerika