Pole mkuuWaheshimu baba na mama upate miaka mingi na heri duniani................ingawaje nililelewa na mzazi mmoja..tena baba,alikua akinifanyia kila kitu,na hakuwahi kuniambia tatizo hata moja la ma a yangu.....Mama alinifia mikononi pale bugando baada ya kumuuguza kwa miezi minne.Nawapenda wazazi wangu wote.....
Pole sana,jamii forum hakuna standard seven dah tumepiga hatua kwenye elimuAsante. Nimelelewa na mamangu hadi namaliza masomo ya chuo kikuu ila sijawahi kumchukia babangu maana sijui nn kilimfanya akimbie na kwenda kufia mbali. Na mwaka huu naenda kujengea kaburi lake na huwa sipendi kumzungumzia sana maana mama anaujua ukweli na hawezi kuusema.
Nawapenda wazazi wangu maana bila wao wawili nisingekuwepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda na weye hutakaa uitwe babaAcha tu mi niwe chizi. MAANA SIMPENDI BABA YANGU
Sasa mbona kamaliza mchezo. Usiombee kuombwa msamaha na mzazi yeyote hata kama ulizaliwa kwa starehe yao tu na si Mpango wa Kuweka mimba. UtalaaniwaNa alishakuja kuniomba msamaha kwa kunikataa anadai alikua anaogopa kuchekwa na wenzie kwa kuzaa na mama kisa mama alikua fukara sana kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini wapo ila binafsi ndo ukweli. Kwaani ukidanganya kuna faida ganiPole sana,jamii forum hakuna standard seven dah tumepiga hatua kwenye elimu
mvujajasho nguli
Ndo ukawafundishe wanao kumpensa baba yao sasa. Sio unawa brain wash kama mnavyofanya. Mwisho wa siku mtoto mapenz yote anahamishia kwako utadhani baba hana jambo la maana.Akili zako ulisahau tumboni kwenye maelezo yangu wapi umesoma kwamba muwachukie baba zenu au wapi ninesema kwamba mababa wote ni wabaya
Acha utoto
Kumbuka kwa sasa mimi ni mama wa watoto watatu na ninaishi ndani ya ndoa safi wala sijasema hakuna baba wazuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hili ndo linalomharibia Diamond na baba yake! Mtoto ukimsikiliza sana mama umepotea!Kiukweli nakubaliana na mtu anayesema mama zetu wanapenda sana kuvutia kamba upande wao
Inreality hakuna mtu atakae farakana na mtu mwingine alafu aje akusimulie kwa namna ambayo itaonyesha yeye ana kosa...lazima aelezee kwa namna ambayo mwenzie ndio mwenye kosa
Kwa sasa nina wazazi wote ila kwa situation inayoendelea nazidi kumshkuru mungu sipo karibu nao maana kwa jinsi mother anavyonielezea anayoyafanya mzee nahisi ningeshaingilia kati kitu ambacho sio kizuri kuingilia ugomvi wa wazazi...
Kwa sasa bado nasoma ila kila nikipata likizo nikaenda home cha kwanza ninachokutana nacho kwa maza ni mabaya yote anayoyafanya mzee na anachotaka ni mimi nichukue hatua kumwambia mzee anachokifanya sio kizuri kitu ambacho ni kigumu mimi kukifanya kama mtoto kwa sababu pia sina uhakika na anayosema maza kama kweli ni ya kweli
Unakuta maza analalamika sana kuusu mzee kuwa amjali kwa kua anaumwa au atoi matumizi ...kwa swala la matumizi napingana na maza kwa kuwa mara nyingi mzee anakua hana ela ila yeye maza anashindwa kulitambua ilo....
Kwa hali ii nimejikuta nabaki dillema nifanye nini...mother anataka nimface mzee nimchane live anayoyafanya sio mazuri wakati mimi sijaprove kama kweli mzee anayafanya na ata kama kweli anayafanya siwezi kumface mimi kama maza anavyotaka maana ni kama nitakua nawaachanisha kabisa
Kwa ili limenifanya nisiwaamini sana mama zetu kwa kile wanachotwambia kuusu baba zetu
Kwa wanaowachukia baba zao nadhani ni swala la kutokuchambua yap ya kuchukua na yap ya kuyapotezea kutoka kwa mather
Kwa ufupi tu ninachotaka kushauri kabla ujamchukia mzazi mmoja jaribu kufatilua kwanza pande zote kama kweli yanayosemwa ni kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunakosa sana baraka kwa kuwahukumu wazazi wetuMkuu Bujibuji umetoa kali!!
Huo ni ukweli hasa watoto wa kiume shukurani zao ni ndogo!!
Jifunzeni ndg zangu!!
Sana mkuu apa nipo nampotezea tu maza kwanza maana siwezi kufanya chochote kwa mzee na sina uakika na ninachoambiwa kuusu yeyeNa hili ndo linalomharibia Diamond na baba yake! Mtoto ukimsikiliza sana mama umepotea!
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaanzaje kumchukia Mzee Mimi siji kuoa mtoto wa single mother au ile familia Mana ndio ana maamuzi juu ya Baba.
Baba inabidi unakuwa na Msimamo, Mzee enzi hizo ni mkali hadi unaona Mama ndio kila kitu lakini baada ya kuwa mtu mzima ndiposa unagundua nini maana ya kuwa kichwa cha familia. Nakumbuka siku moja Mother kazingua Mzee kamind sana mbele ya watoto(sisi) lakini
Mwisho wa siku katuambia nimefanya hivyo kwa sababu hizi na hizi.
Ni kitu ambacho hakikuwahi tokea hapo kabla, Lakini nimeona kupitia family friend ambayo Mama yupo top kweli ni shida kwenye Malezi hasa watoto wa kike kwani ni majanga tu na dharau kwa Baba yao. Long live mzee Onyango.
Umemaliza!! bahati mbaya wengi wako hivyo. hata harusi nani anapewa zawadi ni mama!!Umetoka shule kwa likizo. Umefika nyumbani unamkuta mama, unamuuliza mama, baba yuko wapi anakujibu yuko kazini.
Muda mwingi uko na mama ako tu. Ni siku ya Jumapili, baba anaingia chumbani kwako anakukuta ukipanga mabegi kwani kesho unarudi shuleni (likizo imeisha) anakupatia laki 8 za ada.
Ile anataka kuondoka, unamuomba laki moja ya matumizi. Anakwambia "hali ni ngumu mwanangu" ila anakupatia elfu 80, kisha anaondoka.
Unatoka chumbani kwako ukiwa umenuna, unaenda sitting room, unamkuta mama. Mama anakuuliza "mbona umenuna", unamjibu, "baba
amenipa elfu 80 badala laki kwa matumizi". Mama anafungua hand bag, anakupa elfu 30.
Wewe kwa akili yako mbovu, unakimbilia simu, unaingia FB unapost "HAKUNA KAMA MAMA". Umesahau kwamba baba yako leo ameenda kazini kwa mguu kwa sababu hana nauli? Umesahau kwamba jasho lake ndilo linalokuweka shule? Umesahau kwamba, hela aliyokupa mama kapewa na baba?
ACHA UBAGUZI WA WAZAZI!
Wazazi wote ni sawa ndugu. Kama umezoea kupost 'hakuna kama Mama", leo comment hapa chini "BABA NAKUPENDA SANA" Niwatakie siku njema ndugu zangu.
Mulanga Michael mwakibete
Wach mar ndalo mang'eny....Jaluo modak e chuny luo.