Baba na wana

Baba na wana

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
1410453697006-day091114_007.jpg

Prince William, Duke of Cambridge, left, Prince Charles and Prince Harry look at a mobile phone as they watch an event at Lee Valley Track during the Invictus Games in London
 
"We mzee wa kitambo sana ngoja tukushow jinsi ya kutumia hii simu."
Najaribu kuipatia picha maneno
 
Somebody tell me, late Princess Diana hawa alikuwa anawaitaje?
 
William upara unakuja haraka sana, halafu harry inasemekana sio wa charles.
 
Malkia amuachie Prince Charles kiti naona prince Charles anazeeka haraka.
 
1410453697006-day091114_007.jpg

Prince William, Duke of Cambridge, left, Prince Charles and Prince Harry look at a mobile phone as they watch an event at Lee Valley Track during the Invictus Games in London

Somebody tell me, late Princess Diana hawa alikuwa anawaitaje?
Lukansola, huyu mbaba ni Prince Charles na Diana alimwita mume na hao vijana ni watoto wa Diana. Kumbuka pia kwamba huyu mbaba alioa mchepuko wake, Camilla Parker-Bowles; mke wa mtu! Huyu mama kamzidi Charles umri lakini Charles yeye anaona ni fresh tu! Stori nzuri kweli lakini hapa si mahala pake.
 
Last edited by a moderator:

Asante SHIEKA kwa ufafanuzi murua. jf ni kila kitu.
 
Back
Top Bottom