Baba Na Wana....!!!!

sijui kama yupo raisi mwingine wa hivi
Mapi, hiyo ni zawadi yake kapewa na mungu, Marais wengi kila alipo ni kujikinga na Bulet proof tu, maana wanajua kwa wanayoyafanya hawapendwi
 
Last edited by a moderator:
Hii safi sana,tusiangalie maraisi tu kuwa wangapi wanaweza hili tujiulize na sisi wanajf wangapi tunaweza hivyo?
 
sijui kama yupo raisi mwingine wa hivi
Maisha mazuri ipende familia yako kama unavyojipenda, usiangalie hadhi yako kama ni Raisi au tajiri au mwenye kipato cha chini, familia ipe kipao mbele kwa uwezo wako wote
 
JK na watoto wake 17 sijui wangeenea vipi kwenye hilo sofa...
 
Mwambieni na Baba Naniliu naye aweke ya kwake na familia zake tuwaone.
 
Mwambieni na Baba Naniliu wa magogoni naye aweke ya kwake na familia zake tuwaone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…