Baba Na Mwanae

Baba Na Mwanae

VanDon

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
418
Reaction score
699
Mtoto:Baba nikwambie kitu...

Baba:Nilikukataza kuongea wakati wa kula haya nyamaza....

Mtoto:Akaendelea kula mpaka wakamaliza kula...

Baba:Haya sasa sema ulichotaka kuniambia...

Mtoto:Nilitaka kukwambia wakati umetoka nje kuongea na simu Paka alikojolea chakula chako......

Baba:Unasemaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhh....................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!*******************:A S-confused1::crying::frusty:
 
kunA Muda principle zinatuummiza ............................
 
Back
Top Bottom