Baba na mwana

KIGENE

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,552
813
Siku moja jamaa alitoka zake safari ya mbali baada yakulakiwa na mtoto wake mdogo mazungumzo yao yalikuwa hivi Mtoto: Baba mbona safari hii umekaa muda mrefu? Baba: Mwanangu miangaiko ilikuwa mingi mno Mtoto: Lakini baba unajua nana alikuwa analala na mama kipindi chote ulipokuwa umesafiri?Baba: Sijui tafadhari niambie kabla mamako hajarudi Mtoto: Siwezi kutoboa siri yangu mpaka uninunulie kibaisikeli Haraka baba mtu akaenda na kukileta kibaisikeli na akamkuta mwanae na mkewe wakiwa sebuleni Mazungumzo yakaendelea hivi Mtoto: Baba kwa vile umeniletea kile ulichonihaidi siku nyingi bila mafanikio sina budi nikwambie leo ni nani huwa analala na mama ukiwa safari niseme au nisiseme Mama: Mwanangu nakusihi sana usiseme Baba : Sema mara moja Mtoto: Simwingine bali niiíí ni miii mimi hapa mwanenu mpendwa!
 
Eti huyu naye ni GREAT THINKER! I think, among others, the main objective of this site (JF) is to bring together great ideas to be discussed by great thinkers and not craps of this type. Hebu hayo mamipasho yako peleka huko Mjengoni; hapa sio mahali pake.
 
Kabisa....
Sio mahali pake halafu kichekesho chenyewe ni cha enzi vijana wanavaa ma-bugaluu

may be yes may be not si mahala pake............... ila ukitulia ukaangalia ni ujumbe (gist) ya kwamba at times tunakue eluded na exepectations zetu. Mzee kuna kitu alitarajia (kwa mfano kumjua mgoni wake au kama mkewe analeta mwanaume mwingine nyumbani kwao etc.) ikawa sivyo kabisa.Tafakari chukua hatua.......
 
Lakini eneo alilo-post thread yake ni "Jukwaa la Siasa" ambapo ni mahali pa kujadili masuala mazito ya kisiasa kitaifa na kimataifa. Tunachoshauri ni kwamba thread yake ya mambo ya kufumaniana, n.k. apeleke kwenye jukwaa sahihi na sio kwenye jukwaa hili.
 
hakuna cha sorry...kwan nyie ndo hamchek achen upimbi kucheka ni afya!ihihihihi!
 
Back
Top Bottom