baba na mtoto....

baba na mtoto....

Kirode

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Posts
3,566
Reaction score
84
Watoto balaa..... tena sana 2. Baba alimwambia mwanae Shika hii Sh500 usimwambie Mama yako kuwa umeniona nimelala na House girl!! Mtoto akacheka "Ha!Ha!Haa! Sitaki, tatizo Baba wewe bahili sana, mwenzio Mama akilala na Dereva wako ananipa sh 1000! Baba: ETI.....? Mtoto: Habari ndio hiyo niongezee ili nikufchie siri!!!!.. Kama ninavyomfichia siri mama.!!!!?.hii! Noma kwer.
 
Sasa wew umeshawahi kujiuliza kama mtoto mwenyewe ni wako au ulimkuta na yule mwanamke....??????
 
Hao wazazi wanaoshirikisha watoto kwenye uzinzi wao, wamekosa maadili.....
Mtoto huyu akikuwa atakuwa haoni tabu kufanya makubwa kuliko ya wazazi.....
 
Back
Top Bottom