Baba Mzazi Wa Mwanamuziki Diamond Aibuka-Soma Mambo Mazito Aliyosema Hapo Chini

Kumbe Diamond na queen Darleen ni ndugu ndo najua leo wakuu.Diamond jifunze kwa kanumba shauri lako
 
ukweli wa hili jambo ni mama yake Diamond ndio analijua hawa madingi wanakuaga na longo longo sana kama aliachana na mama Diamond anataka nini tena
 
sitashangaa kukuta huyo 'baba' hakumlea diamond.....

Baada ya mtoto kukua na kupata chenji ndo kamuona 'mtoto'... Then ategemee mapenzi ya mwana.....

Aendelee kumpigia simu hata mara hamsini....
 
Huyu mzee anapaka mkorogo aisee cheki mikono una sugu zile nyeusi na uso unang'aa kapaka nini sijui yarabi toba
 
diamond ana baba umri unalingana naye.....baba mzee wa nini...!!! mama zetu huwa wanatuweza hapo tu..... kama hadije kopa alivyo na mume kama mwanaye
......
 
Huu ni unafiki, alikuwa wapi siku zote kutwambia diomond hapokei simu?

Hivi kwa nini wazazi wetu wengine siyo wawazi?
 
Shabash,hapo ndipo ninapomkubali Eric Shigongo,mtafaruku huu mpaka uishe atakuwa kashajitengenezea milioni kadhaa kwa mauzo ya magazeti yake kisha mtamsikia akifanya jitihada za kuwapatanisha baba na mtoto,haya,yangu macho na picha ndio kwanza linaanza........
 
 
Hebu mwambie huyo,mzazi ni mzazi tu,no matter what!
siyo kila mzazi ni mzazi bwana...............yeye aniache akimbie kwingine niangaike na mtoto hafu baadaye mtoto apate mafanikio ndo asogeze pua yake kwa mtoto kisa mzazi.................no way.
 
 
 
 
na nyie wababa inakuwaje mnawatafuta wakishapata maendeleo,
kwanini usile jiwe kama ulivyofanya kwa muda wa miaka tisa?
 
na nyie wababa inakuwaje mnawatafuta wakishapata maendeleo,
kwanini usile jiwe kama ulivyofanya kwa muda wa miaka tisa?

wanaume wengine ni mababa suruali....
Wanadhani kutoa sperm ndo kuwa baba...
Ili uitwe baba lazima uwe umelea,
ujue mwanao ameiula nini...
Amevaa nini.....
Anasoma? Ada umelipa? Tuition?
Akiumwa?
Mwanao anapohitaji mtu wa kuongea nae unakuwepo?
Kumkoso?
Kumfundisha?
Kumsupport?
Kumuongoza?
Kumshauri?
Bonding gani iliyopo kati yenu?
Unashare huzuni na furaha za mwanao?
Je wewe ni rafikiwa mwanao?
Anapohitaji mtu wa kumpa siri upo?
Anapohitaji kushikwa mkoni na kuambiwa 'you can do it?' upo?

Sio unatelekeza mtoto....akifanikiwa unapeleka pua yako..... Ebooooh
 
kumbe diamond na queen darleen ndugu? Halafu nampenda sana darleen
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…