Kinumbo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 3,188
- 5,810
Kule ameisha achana nao, kwa sasa hana timu.
Paok FC.
Ugiriki
Paok FC.
Ugiriki
Pole kwa familia Mungu awatangulie katika kipindi hiki kigumu na pia nina Swali hivi Mbwana Samata anakipiga wapi sasa hivi?
Yupo Paok ya Ugiriki, acha kutumia simu yako kama Calculator next time..Pole kwa familia Mungu awatangulie katika kipindi hiki kigumu na pia nina Swali hivi Mbwana Samata anakipiga wapi sasa hivi?
Mungu awape faraja familia.
Unatufanya tucheke bila kupendaHuyu alimzaa mbwana samata na kuna baba alimzaa Lucas Mwashambwa
mkataba wake umeisha kwa sasa hana timYupo Paok ya Ugiriki, acha kutumia simu yako kama Calculator next time..
Makiwa kwa wafiwa,na namuombea maghufira kwa Jala JalalNI huzuni kubwa katika familia ya mshambuliaji wa timu ya taifa 'Taifa Stars', Mbwana Samatta kufuatia taarifa za kifo cha baba mzazi, Ally Samatta.
Mzee Samatta amefariki dunia leo hii nyumbani kwake Mbagala Dar es Salaam na taarifa za kifo chake zimethibitishwa na mwanae, Mohamed Samatta.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa ndugu wa familia, Mzee Ally Samatta alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya kiafya.
View attachment 3396147
Source: Mwanaspoti
PAOK walisha malizana nae.Paok FC.
Ugiriki