TANZIA Baba Mzazi Wa Mbwana Samatta Afariki

TANZIA Baba Mzazi Wa Mbwana Samatta Afariki

NI huzuni kubwa katika familia ya mshambuliaji wa timu ya taifa 'Taifa Stars', Mbwana Samatta kufuatia taarifa za kifo cha baba mzazi, Ally Samatta.

Mzee Samatta amefariki dunia leo hii nyumbani kwake Mbagala Dar es Salaam na taarifa za kifo chake zimethibitishwa na mwanae, Mohamed Samatta.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa ndugu wa familia, Mzee Ally Samatta alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya kiafya.

View attachment 3396147

Source: Mwanaspoti
Innalillahi wainna ilayhi rajiuun
 
Alimlea mtoto wake kimaadili...
Mno Mkuu na mpaka tembea yake Mwanae Mbwana kairithi. Pole sana kwa Popa Mbwana Samatta. Ni safari yetu sote ila Baba yake Kututangulia tu. Tumuombee mapumziko mema na Mwenyezi Mungu ampunguzie au amfutie kabisa Dhambi za Kaburini.
 
Back
Top Bottom