GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,278
- 6,671
Hawezi kumuuliza kwa sababu watoto wengi wana tabia ya kujikuzaKwanza amuulize binti yake kwa nini alisema ana miaka 18..
mfano, mimi nilipokuwa mdogo nilikuwa naweka majani fulani kidevuni
ili nionekane kuwa nina ndevu, pia mabinti walikuwa wanaweka vifuu
kifuani kwa hiyo si ajabu kwa kizazi cha TV kujikuza au kujirudisha nyuma.
Angekuwa mchezaji wa mpira angejirudisha nyuma umri wake.