Baba mwenye nyumba na kondom zangu

Baba mwenye nyumba na kondom zangu

Joined
Apr 8, 2018
Posts
10
Reaction score
4
Kwema?

Jamani wadau, naombeni mnisaidie kufanya maamuzi leo naogopa kufanya maamuzi yangu binafsi nisije nikakosa wa kumlaumu.

Nina mwaka wa 7 sasa nafanya biashara kwenye hiki kiosk nina changamoto kubwa ya kibiashara.

Nimepanga kumshtaki mwenye nyumba wangu kwa mkewe kwa kunikopa kondom zangu bila kunilipa.

Leo ndo kanichefua zaidi, maana alikua kalewa, akaja kuchukua kondom kwangu akaondoka kwenda "kupiga" mchepuko, alafu mimi ndo nikawa "Guardian angel" wake kwa mkewe aliporudi nikamkumbusha kuhusu malipo akatema makohozi "ya kulazimisha" kwenye meza yangu ya matunda!

Sasa kuna haja gani ya kuendelea kumlea mtu kama huyu naficha siri zake, kondom zangu anakopa alafu halipi hana fadhila ametema makohozi kwenye meza yangu.

Mnasemaje wadau? Nikazidai kondom zangu kwa mkewe?

Nawasilisha!
 
Unadai condom au pesa?!!!

Umekazana condom zako wakati zimetumiwa na mwingine!! Basi uwe unamfuata akishazitumia uchukue.
Nadai pesa mkuu...nipo kibiashara zaid! Mi ni km jambaz mwenye nidham na kazi yangu
 
Unadai condom au pesa?!!!

Umekazana condom zako wakati zimetumiwa na mwingine!! Basi uwe unamfuata akishazitumia uchukue.
Ninawaangali basi ninasema "hiiiiiiii"
 
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kadai soksi zako za mpira🙂🙂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom