moonlightj12
Member
- Dec 6, 2022
- 33
- 90
Niliambiwa kua uyaone basi mim mwenzenu nimeyaona, naandika huku natetemeka sikuwahi waza kama baba mtoto wangu anaweza kua mshilikina kupindukia.
Ni kijana mmoja very smart, mstaarabu wa sura ila roho yake nimeshangaa sana, nahisi alieniletea izi habari anaweza kua muongo.
Ntakuja na Uzi kamili bado najarbu kudigest habari, nimepigwa na butwaa kubwa.
I think I'm loosing my mind!