Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,606
- 1,956
WanaJF,
Mzee Mkapa na mkewe katika picha ya pamoja na Baba Mtakatifu.
Mzee Mkapa na mkewe katika picha ya pamoja na Baba Mtakatifu.
Mwalimu nyerere amegeuka kichaka cha viongozi wa ajabu ajabu kujificha wengine wamepitiliza mpaka wanajilinganisha naeAnajifanya mwema sana arudishe ile minara ya dhahabu aliyokuwa anapewa kule geita gold mining. Wananiudhi sana wanapojinasibisha na nyerere wakati mwalimu hakuwa mwizi.
Afadhali ya hao kuna wengine sasa hivi wanajinasibisha na malaika au na Mungu kabisaaMwalimu nyerere amegeuka kichaka cha viongozi wa ajabu ajabu kujificha wengine wamepitiliza mpaka wanajilinganisha nae
Sio kujinasibisha tu... ni kutamani kabisa kazii UUNGU na umalaika mkuu siku wakienda mbinguni.Afadhali ya hao kuna wengine sasa hivi wanajinasibisha na malaika au na Mungu kabisaa