Baba Mlezi Mtaani Kwetu...

Singa msyalo,wanilekaga wakulugo🤔
 
Hana basi huko mbalii ukuyeee hukuu kiasali looh...

Nimejikuta nawaza....., hivi asali huwa inachacha au iko kama wine....jinsi inavyokaa muda mrefu ndivyo inazidi kuwa tamuu....!!???
Kuna asali imegoma kutoka kwenye chupa ya konyagi nimeshindwa nifanyeje..kijiko nacho hakiingii sijui itakua imeoza au laa.

Yule Baba ni Mhehe na ni boss wangu
 
Kuna asali imegoma kutoka kwenye chupa ya konyagi nimeshindwa nifanyeje..kijiko nacho hakiingii sijui itakua imeoza au laa.

Yule Baba ni Mhehe na ni boss wangu

Jaribu kuchemsha maji kwenye sufuria mishap yaweke pembeni kabla hayajapoa weka chupa ya asali, inaweza kuyeyuka na ukaimimina, isipoyeyuka basi itupe tuu. Ingekuwa chupa ya plastiki unaikata ili upate hiyo asali iliyo mbali.
 
Niliwaza hivyo ila nikadhani chupa inaweza kupasuka then nikakosa vyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…