Baba Mlezi Mtaani Kwetu...

Mfungukie tu mapema. Maisha yenyewe mafup ujue

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu baba mlezi hata jina lake simfahamu, na kijana wake anasoma shule za kizungu anafatwa na school bus mlangoni na kurudishwa walau ningemuuliza nipate pa kuanzia.

Naupa muda nafasi, ntajamwambia tuu siku moja.
 
Safi.

Ndiye mimi sema huwa tunapishana kimya kimya


Jamaniii, si unisemeshe semeshe sasa halafu uniite nyumbani kwako kuja kukisaidia kitu looh....aahahahahahaa

Usiwe mkimya banaa...unakosa utamu ujue eehehehehehee.
 
kula kitu roho inapenda, jioni ntapita tuyajenge nam nii siku nyingi nakuwazia kama wewe tu, nimefurahi sana kujua tu wamoja kihisia

Wabheejaa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…