Gari ya aina ya Nissan Navara ila ni Toyota Double Cabin.... Kasie vip umechanganyikiwa sana na baba mlezi au mm ndio sielewi
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha nipe mikakati ya kuondoa hiyo hofuKumbe unafurahia kukaa na hofu kiasi unasubiri hofu iondoke yenyewe na si wewe uiondoe hiyo hofu...
Haya kila la kheri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji488]Nimesharekebisha, ni mfano wa na si aina...
Picha hii hapa...
View attachment 1423713
Ever Smiling Kasie.
ha ha ha nipe mikakati ya kuondoa hiyo hofu
ha ha ha mahaba yanakukeep vipi bize?Make a new hobby like kujifunza kushona, kuchora Ila fine art, kuwa na bustani ya maua au mboga mboga, kuimba au kucheza mziki au jifunze lugha mpya.
Vyote hivyo unajifunza online bila kukaribiana na mtu na kupunguza maambukizi.
Mie Mahaba yananikeep busy plus kupika new foods.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji488]
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha mahaba yanakukeep vipi bize?