Baba mkwe....

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Wazo la leo... KUWA NA BABA MASIKINI NI MPANGO WA MUNGU, ILA KUA NA BABA MKWE MASIKINI NI UZEMBE WAKO MWENYEWE.

Tafakari
 
You pick baba mkwe but not mzazi right?
 
Hii kama ina ukweli, lakini najiuliza hata baba mkwe akiwa tajiri msaada wake upo wapi???
 
wazo la leo... Kuwa na baba masikini ni mpango wa mungu, ila kua na baba mkwe masikini ni uzembe wako mwenyewe. Tafakari
:::kama ulizaliwa maskini siyo kosa lako, lakini ukifa maskini ni makosa yako"
 
Kwa hiyo unataka kutuambia watu masikini ni wazembe? Ndugu yangu unajua adha ya kuwa masikini? Jaribu kukaa na watu masikini halafu piga nao stori mara kwa mara, utagundua umasikini siyo uzembe.
 
Hii kuna mtu majuzi aliileta kwa staili ingine lol..Kwamba kama kwenu ni maskini afu ukaoa binti kutoka ktk familia maskini ni uzembe!

Ukiwa na mawazo ya namna hii kama mwanaume .. Ni aibu sana as inaonyesha ulivyo mvivu na akili yako ilivyo lala kaaaa

Yani wewe wasubiri wanaume wenzio wakutafutie uje ule???

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
:::kama ulizaliwa maskini siyo kosa lako, lakini ukifa maskini ni makosa yako"

Hiii walao .. .. Kaaaaaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sasa hapo unaoa pesa au mke? pesa zikiisha je?
Lbda basi ndoa tungekuwa tunaapa hadi pesa zitakapotutenganisha.lol!
 
Sasa wote tukiwa matajiri nani atakuwa maskini ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…