hata kama nikikubali au nikikataa,siwezi kufanya hivyo mbele yake.
Luggy hivi umewah kusoma baadhi ya comments zangu??ka hiyo kwa mfano wewe ukiwa mwanamke hutafeel pain mumeo akitoka na mwanamke bomba kukuzidi......nasisitiza we will never clearly define Women
nimekuelewa vizuri sana,ndo nasema hata nikikubali kuwa ni mwanamme zaidi yangu au nikatae sio mwanamme zaidi yangu,but siwezi beba mzigo mbele yake.
ndugu baba mkwe amekuchukulia wewe kuwa mwanawe mkubwa wakiume ndio maana akasema hivyo...
ungeendelea kupiga nae story juu ya totoz...
yaani bhado hujanielewa............
bamkwe wako anajua kwamba mwanaume kaumbiwa tamaa na alikuwa anakuchora unavyo mtizama binti kwa jicho la wizi ilihali kumtizama kwa jicho la halali sio vibaya.
kimsingi nhuyo bamkwe alikuona poyoyo kwamba unashindwa hata kuitendea nafsi yako haki ya kutizama licha ya kutongoza. learn to be a man bhana.
huyu baba mkwe namsifu kwanza kaonyesha kwamba yeye ni mwanaume japo mzee lkn ana guts kuliko vijana wa kileo
yani skiliza sio kwamba baba alitaka utongoze mbele yake wala kukupa michapo iyo hakumaanisha kwamba utongoze ila baba alitaka ujue kwamba kumtizama huyo binti haikuwa vibaya na ndo mana akakuuzia chai kimtindo ila ndo ivo wewe ukamwelewa vibayaam a man mtu wangu,tena mwanamme wa kweli(siyo yule anayetumia dume),but kuna mazingira ya kufanya vitu flani flani.hebu imagine uwe na mamkwe wako mnaenda sokoni afu akuambie maneno kama hayo kwa mwanamme mwingine ilihali akijua unakijana wake,utajiskiaje?atakuwa amekuona kicheche au amekuona uko loose?au anataka kujua ni jinsi gani usivyomuaminifu kwa kijana wake?we respond yako itakuwa nini?
Kwa hiyo unataka tuwe tom.ba tom.ba? Duh! Mwalimu, mpaka nimeogopa! Nyie wenyewe mnalalamika kwamba waume zenu sio waaminifu, bado mnasifia wazinifu! Loh!
huo uwezekano upo mkuu
huyu baba mkwe namsifu kwanza kaonyesha kwamba yeye ni mwanaume japo mzee lkn ana guts kuliko vijana wa kileo
Mleta mada kasema wazi kuwa mzigo
ulikuwa na viwango vyote yaani niseme
INTERNATION STANDARD ORGANIZATION
(ISO) .
Nae akaumezea mate vizuri sana lakini
pale alikuwa na Baba Mkwe ilikuwa sio
rahisi kuaga kuwa nafukuzia mzigo japo
ruhusa ilitolewa kikubwa na Mkwe .
Alichofanya mleta mada ni kuwa na staha
km watu wanavyosema ukitaka kuona
usiku mfupi"KOJOA UKWENI"
kwa hakika alikuwa anakutega ndugu, wazee wengine wajanja na wamekaa kuviziavizia wakwe.
ila pia anaweza akawa nae ndio tabia yake sasa alikuwa anataka kuonesha ni mambo ya kawaida ili hata akichukua yeye hilo zigo wewe usimshangae kisa ni mwanaume mwenzako yani alijifanya a man to man talk. be careful my brother. yote mawili si mazuri kwako.
nimekuelewa vizuri sana,ndo nasema hata nikikubali kuwa ni mwanamme zaidi yangu au nikatae sio mwanamme zaidi yangu,but siwezi beba mzigo mbele yake.
Isitoshe kutekeleza kauli ya baba mkwe hakukufanyi kuwa rijali zaidi. Hizo nyingine ni trick tu.
Ukiingia kichwa kichwa inakula kwako. Usisikilize maneno ya wataabishaji hawa.
Sasa nimekuelewa dada yangu kipenzi.....Vp tunapanda this time?not at all brodah!!
iko hivi huyu jamaa yeye kamtazam,a binti kwa jicho la wizi bamkwe kamwona akajikausha na akaendelea kumtizama binti kwa jicho la haki.
kimsingi bamkwe anajua wazi kwamba kutaman kwa mwanaume sio dhambi na hivyo kumtazama binti mrembo kwa jicho la haki sio kosa.
sasa jamaa anajidai malaika ilihali wanaume wameumbiwa kutaman na Mungu alisema tamaa ya mwanaume itakuwa juu ya mwanamke?? kimsing bamkwe kaonyesha uanaume ule wenyewe kwamba yeye hakutaka kijana achukue zigo ila alitaka kumwonyesha kijana uanaume ni nini.
kwan kuwa naq mwanae na mjukuu ni ishu?
kubali ukweli kwamba bamkwe ni mwanaume kuliko wewe