Mapolomoko
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 1,751
- 422
binti kaenda kutambulisha mchumbawake kwao. alipofikatu baba akaona dosari, maana kijana alikuwa mweusi tii,anamatege yaukweli na makengeza ya maana. achumba alipoona sura ya babamkwe imebadirika ikamubidi atabasam kidogo, lahaula! alikuwana mapengo