Baba mkwe amwogopa mvuta bangi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baba mkwe amwogopa mvuta bangi.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Kibirizi, Jul 20, 2012.

 1. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Jamaa mmoja alipelekwa kwa wakwe zake na mchumba wake kwa maana ya kumtambulisha, alipofika jamaa akawa anatafuna Big G. Mkwe akamuuliza, "yaani wewe mbele ya wakwe zako unatafuna Big G?". Jamaa akajibu, "mimi nikiwa nimevuta bangi sana ndio natafunaga Big G". Mkwe, "hee! kumbe unavuta bangi? "Jamaa, "ndio, tena tangu nilipotoka jela tu hali ndio imezidi". Mkwe, "hee! kumbe ulifungwa?". Jamaa, "ndio, nilifungwa kwa kosa la kuua. Niliua baba mmoja alinikatalia nisimuowe mwanae nikamuulia mbali, shenzi kabisa yule". Mkwe kusikia vile akasema, "dah, ooh karibu mkwe wangu jisikie upo kwako mimi ndio mkweo karibu baba"
   
 2. N

  Neylu JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hahahaaa....Kaaazi kweli kweli.
   
 3. Brine

  Brine JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 376
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hapo kazi ipo!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 4. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,651
  Likes Received: 2,096
  Trophy Points: 280
  Khaaaaaa!
   
 5. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Teh teh teh !!!
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,740
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahahahaha
   
Loading...