Hii labda ni mpya, Ina maana cheti changu hakitambulikani? Tumia Neno tofauti labda. Otherwise nakupongeza sana sanaMkuu cwz kuelezea proccess zote hapa. niandika kwa kuchukua matukio.
Cheki cha ndoa ukipewa unapeleka serikali kukiweka kwenye system.
Nitakuja kukupa update baadae kuhusu chet baada ya kutolea kuna process zinahtaji kufanyika ili serikali itambue ndoa yako.
🤣🤣🤣Kitendo cha kutoa kulipa mahari mwnamke atakuja kukudharau sna siku atasema unaninyanyaza wkt hujalipa mahari
Embu kalipe mahari
Kanisa gani hilo Mkuu ambalo cheti cha ndoa unakifuata baada ya ndoa?Baada ya kuweka mizizi mizuri ukweni na kuwa na mahusiano mazuri na ukweni kwangu, niliamua nikatoe mahari baada ya miezi kadhaa kutoa posa, mshenga alimuuliza baba mkwe wajipanga vipi siku wakitaka kurudi hatua inayofuata.
Baba mkwe alisema nataka kuona hao wawili wana mahusiano mazuri.
Basi baada ya miezi kadhaa kupita ilibidi nitoe taarifa kwa mshenga kwamba nataka tukatoe mahari.
Taarifa ilimfkia baba mkwe na tulipanga siku ya kutoa mahari.
Ikiwa imesalia wiki moja kufika siku ya tukio, bibie alitangulia kwao ili kupokea wageni wake.
Ajabu baba mkwe aliomba kuongea na mimi, akanimbia anataka mimi niende kwanza kabla ya tukio.
Basi nilipohitikia wito wa baba mkwe, aliniuliza maswala mengi na tuliongea kama masaa 3 hivi na mchanganyiko wa story za huku na kule.
Baada ya maongezi, baba mkwe akasema sioni sababu za wewe kutoa mahari kikubwa ni kuzingatia hayo tuliongea na kumtanguliza Mungu.
Asema baba mkwe, naona kabisa ni jinsi gani mwenzio umemtunza na naona kabisa mabadiliko ya maisha kwa mwanangu, sikuwah kujua kama mwanangu ni mtu mwenye furaha hivi, siku hzi naona kabisa amechangamka tofauti na zamani.
Baada ya kurudi home,simu yangu moja kwa moja kwa mshenga kwamba ukweni hawataki mahari ila tutaenda kufamiana na maongezi zaidi lakini tusipeleke cent yeyote.
Mwenzenu nimeoa ndoa ya kanisani, licha bado tunaishi tofauti. hapa nafatilia maswala ya huakika cheti cha ndoa.
Tena atarudi na new IDUtarudi tena hapa mkuu.
Ntaelewa hapo baadae.
Mtunze mzee mpk cku yake ya mwisho!!!ni hilo tu,usimzingue mzee kabisaPiga kifua sema umempata baba mkwe mwana sana .
Yapo mengine hapo yangetaka uyape mpaka hela za kuzeekea na kuzikwa nazo ila hilo libaba mkwe lako lina miakili sana
Labda Kwa miaka hiiKuna hatua ya kuakiki cheti serekalini
Kumbe wewe kama mimiHuyo baba mkwe ni kama mimi, nimeshapanga sitakuja kupokea mahari kwa mabinti zangu
Kama ulimtoa mchango kwenye familia ya mke wako Kwa moyo wako wote na mlikuwa mmeshakubaliana swala la mahali wewe pamoja na mke wako na familia yake,KATOE MAHALI. Mwambie Baba mkwe ushatenga bajeti ya mahali na mahaili iko tayari.Baada ya kuweka mizizi mizuri ukweni na kuwa na mahusiano mazuri na ukweni kwangu, niliamua nikatoe mahari baada ya miezi kadhaa kutoa posa, mshenga alimuuliza baba mkwe wajipanga vipi siku wakitaka kurudi hatua inayofuata.
Baba mkwe alisema nataka kuona hao wawili wana mahusiano mazuri.
Basi baada ya miezi kadhaa kupita ilibidi nitoe taarifa kwa mshenga kwamba nataka tukatoe mahari.
Taarifa ilimfkia baba mkwe na tulipanga siku ya kutoa mahari.
Ikiwa imesalia wiki moja kufika siku ya tukio, bibie alitangulia kwao ili kupokea wageni wake.
Ajabu baba mkwe aliomba kuongea na mimi, akanimbia anataka mimi niende kwanza kabla ya tukio.
Basi nilipohitikia wito wa baba mkwe, aliniuliza maswala mengi na tuliongea kama masaa 3 hivi na mchanganyiko wa story za huku na kule.
Baada ya maongezi, baba mkwe akasema sioni sababu za wewe kutoa mahari kikubwa ni kuzingatia hayo tuliongea na kumtanguliza Mungu.
Asema baba mkwe, naona kabisa ni jinsi gani mwenzio umemtunza na naona kabisa mabadiliko ya maisha kwa mwanangu, sikuwah kujua kama mwanangu ni mtu mwenye furaha hivi, siku hzi naona kabisa amechangamka tofauti na zamani.
Baada ya kurudi home,simu yangu moja kwa moja kwa mshenga kwamba ukweni hawataki mahari ila tutaenda kufamiana na maongezi zaidi lakini tusipeleke cent yeyote.
Mwenzenu nimeoa ndoa ya kanisani, licha bado tunaishi tofauti. hapa nafatilia maswala ya huakika cheti cha ndoa.
Kama ulimtoa mchango kwenye familia ya mke wako Kwa moyo wako wote na mlikuwa mmeshakubaliana swala la mahali wewe pamoja na mke wako na familia yake,KATOE MAHALI. Mwambie Baba mkwe ushatenga bajeti ya mahali na mahaili iko tayari.
Kama ulitoa mchango kwenye familia ya mke wako Kwa lengo badae usamehewe mahali,licha ya kuwa mke wako pamoja na familia yake mlikuwa mmeshakubaliana swala la kutoa mahali mpaka kiasi. ACHA KUTOA MAHALI.
Kumbuka!Soma vizuri
Kuna wanaume hawafungi ndoa bila kutoa mahari. Mahari ni lazima kama unafahamu vizuri maana yake.Huyo baba mkwe ni kama mimi, nimeshapanga sitakuja kupokea mahari kwa mabinti zangu
Kwahiyo ukitoa mahari ndio hutadharauliwa ?Kitendo cha kutoa kulipa mahari mwnamke atakuja kukudharau sna siku atasema unaninyanyaza wkt hujalipa mahari
Embu kalipe mahari
Baada ya kuweka mizizi mizuri ukweni na kuwa na mahusiano mazuri na ukweni kwangu, niliamua nikatoe mahari baada ya miezi kadhaa kutoa posa, mshenga alimuuliza baba mkwe wajipanga vipi siku wakitaka kurudi hatua inayofuata.