Baba mkali

Apr 20, 2012
19
3
Baba mmoja alikuwa mkali sana si kwa mke wake tu, bali hata kwa watoto wake. Bahati nzuri au mbaya alikuwa akienda kuoga llazima aanze na haja kubwa kwanza then ndo anaoga, na alipendelea kuoga maji ya vuguvugu...
Siku moja Mama na Watoto wakaamua nao kumkomesha Baba mwenyenyumba,
basi wakamuandalia maji ya MOTO badala ya vuguvugu, sasa DINGI alipoenda kuoga akaanza na haja kubwa kwanza, BALAA LIKAMKUMBA WAKATI WA KUJITAWAZA, ile kutia maji tu akapiga kelele, "WAAAAAAAAAAAAH!!! NANI ALIYEWEKA HAYA MAJI???"...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom