Vitu vya kupitia hivyo na wewe unapimwa Imani, akiondoka maisha mengine yataendeleaYupo kwa muda.
kwani wewe ni Muislam au haupendi tu Kitimoto?Was salaam.
Ni hivi upande wa baba wapo mseto lkn %95 ni wakristo, %5 ndiyo siye,
Baba mdogo kaja nyumbani kutusalimia na ana wiki sasa,
Shida ba mdogo anapenda kula kitimoto balaa,
Yaani chai yake ni kitimoto na pepsi,
Shida anakuja nacho ndani, kama leo kamtuma boda amletee na muda boda kaja ba mdogo anaoga na akaniambia nikampokelee[emoji2815]
Na kumuambia asilete ndani nitaanzaje??
Hawezi kuona tunamnyanyapaa??
Au hatumtaki??
Je anafanya kusudi?? maana anaelewa kuwa hatutumii,
Naombeni ushauri nitumie njia gani kumfikishia kuwa hatupendezewi na hii tabia?
NB.mama hajui maana si mtu wa nyumbani.
Hata kama nisingekuwa na imani hii nisingeila hiyo nyama,,yule mnyama tu anatisha[emoji16]Hebu onja finyanga moja utamuelewa baba mdogo. Ulipo mpokelea Ile harufu haikukufanya udondoshe mate?
Wewe onja utaniambia, mhaya mwenyewe anakuambia senene Ni takataka mbele ya kitimoto.
Me muislam,kwani wewe ni Muislam au haupendi tu Kitimoto?
Namaanisha kama wewe ni Muislam, muite Pembeni umueleze kuwa familia yako haitumii na kwa imani yako haifai kuleta hapo nyumbani hivyo unamuomba asifanye hivyo.
Akileta tena, itakuwa ni dharau ya hali ya juu nyumbani kwa mtu hivyo mtengenezee mazingira ya kuondoka chap!
Loooh
Baba hayupo,kashatangulia mbele za haki.
Ingekuwa kwangu na anajua kuwa yupo nyumba ya Muislam hatua yake ingekuwa ya haraka sana;Me muislam,
nashukuru kwa ushauri.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umejuaje?Mkubwa hakosei we ni vitu haramu vingap unatumia mpak uanze kumkosa baba yako mdogo, kope za bandia mawingi yabandia, rangi za kujiremba zote haramu,bado unazini ujaolewa haramu, yani uwezi mkosoa mwache afaudu nyama pendwa