mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,967 6,463 Apr 14, 2016 #1 Baada ya kazi anapata kiburudisho cha bariidiiii
MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,701 71,035 Apr 14, 2016 #2 Hakuna ubaya wala dhambi yoyote, mwache mzee wetu aburudike
linguistics JF-Expert Member Jun 22, 2014 4,713 4,369 Apr 14, 2016 #3 Anaburudika ndio...tatizo liko wapi??
manuu JF-Expert Member Apr 23, 2009 4,064 10,731 Apr 14, 2016 #4 Ni kweli hiyo soda yaonekana yabaridi mno..
mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,967 6,463 Apr 14, 2016 Thread starter #5 Safiiiii muda wa kazi ukiisha ni vema kupata kiburudisho murua kama hivyo
M mkagulu original JF-Expert Member Dec 30, 2013 703 172 Apr 16, 2016 #8 kumbukumbu la torati 14:22~27
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Feb 3, 2009 42,809 34,193 Apr 16, 2016 #10 mbere said: View attachment 338055 Baada ya kazi anapata kiburudisho cha bariidiiii Click to expand... Haleluya Mwacheni Mchungaji ajiburudishe Rohoni kwa raha zake baada ya kazi nzito sana Bwana awe nawe.
mbere said: View attachment 338055 Baada ya kazi anapata kiburudisho cha bariidiiii Click to expand... Haleluya Mwacheni Mchungaji ajiburudishe Rohoni kwa raha zake baada ya kazi nzito sana Bwana awe nawe.
Teacher on duty JF-Expert Member Dec 17, 2014 201 329 Apr 16, 2016 #13 Hakuna tatizo acha apate kitu roho inapenda